Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ona ulivyokosa akili!!usiwe mjinga, kama hizo rangi hazina maana kama wewe unavosema... kwanini juzi kati ulaya kuna mchezaji mmoja wa kiafrika alikataa kuweka hizo rangi kwenye jezi yake na wakataka kumfukuza kwenye club yake kwamba anabagua mashoga?
Again acha kua mjinga, ushoga ni moja ya matendo ambayo katika historia ya dunia yalisababisha direct punishment kutoka kwa Mungu.... Unadhani Mungu baada ya kutia kiberiti ile jamii ya sodoma na gomora ameenda kulala sio? Endelea kuwatetea mapunga wenzio.
Mimi sijawatetea ila kama nilivyosema mwanzo we jamaa ndie unaesambaza agenda za kishoga hapa. Kwani ukipuuzia unapungukiwa nini??
Hizi mambo zimekua kubwa hapa nchini kwasababu ya watu kama wewe. Jambo haliongelewi lakini wewe kutwa kucha kuhusisha kila jambo na ushoga.
Narudia tena lea watoto wako vizuri, mabazazi hawaijui hiyo mirangi, we endelea kuhangaika na video ya mbosso wafukue mtaro wa mwanao huko.
Muelimishe jinsi ya kujilinda na mabazazi na sio kumuelekeza upinde wa mvua wakati dogo anajua hizo rangi ni za Mungu wewe unasema ni za mashoga.
Mwambie awe mkali na nyeti zake, sasa ulivo zuzu utaenda kumuonyesha kikoti cha mbosso na kusema huo ndo ushoga shauri yako.