Wasanii Bongo ni mzigo kwenye social networks

Wasanii Bongo ni mzigo kwenye social networks

wadau wengi wamekuwa wakiwalalamikia wasanii wetu hasa kwenye social networks kama jamii forums, fb, tweeter e.t.c, wamekuwa wavivu kujitokeza, na hata wakijitokeza huanzisha mada na kukaa kimya bila kuchangia, wao furaha yao ni kuona watu wanacoment kwenye topic zao, ila ikitokea ukamuuliza swali hajibu.

Kwa mfano hapa jf ni lini watajisajili kama verified member, maana jf ni mtandao mkubwa e. Africa na africa, nadhani ingekuwa vyema kwao kukaa karibu na fans wao.
Nawasilisha.

msanii gani wa marekani aliyetoa mada kwenye fb au twitter then uka comment akakujibu tena?
Nitajie mmoja na ushahidi nakurushia vocha ya buku 10 sasa hivi

na ni msanii gani wa marekani akitoa mada kwenye facebook huwa anajibu na kuchat na watu?
Taja mmoja na ushahidi na nitatoa ruhusa ya modes anipige ban ya wiki nzima
 
Superstar Robyn Rihanna Fenty......ana-interact sana na fans wake twitter na Instagram recently instagram zaidi mpaka kuna twitter account "RIHplies" inayoonyesha re-plies zake tu......icheki.
 
Uzuri wa hapa watu hawaiti chepe kijiko kikubwa. Hapa chepe ni chepe na sururu ni sururu fullstop ndo maana hamna kuficha.
Pili naona hili suala la identity faking linawasaidia sana ndo maana watu wanaongea vizuri bila kikomo.
Ukitaka mbongo aongee juu yako mpe pombe atoe aibu.
Wanaijua jf ndo maana wanaishia kujianika na vipicha vyao huko instagram, fb na twira.
Waiteni hapa wapewe verified status halafu uone timbwili lake

kuna yule msanii wa bongo movies alijoin
hum sijui kapotelea wapi siku hizi......
maana una siku walimshambulia lol

btn Matola akitoka kifungoni atakushukuru sana,
kisa cha kupigwa BAN ni nini!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kamanda Jenerali Gang Chomba, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Kuna series inaitwa IRIS si kawaida niliangalia season 1 na season 2, sasa zimetoka season 3 na season 4 ndiyo ya mwisho, mapumziko yangu weekend hii nitatumia muda mwingi kuziangalia ili nizimalize, nakushauri upate nakala zako, hii series hata Prison Break ni cha mtoto kabisa.

mh hilo dude ni la kutafuta mwana 3 na 4
 
Last edited by a moderator:
sio wasanii tu , hata wanasiasa nao ni wavivu kurepond

wadau wengi wamekuwa wakiwalalamikia wasanii wetu hasa kwenye social networks kama Jamii forums, Fb, Tweeter e.t.c, wamekuwa wavivu kujitokeza, na hata wakijitokeza huanzisha mada na kukaa kimya bila kuchangia, wao furaha yao ni kuona watu wanacoment kwenye topic zao, ila ikitokea ukamuuliza swali hajibu.

kwa mfano hapa Jf ni lini watajisajili kama verified member, maana JF ni mtandao mkubwa E. africa na Africa, nadhani ingekuwa vyema kwao kukaa karibu na fans wao.
nawasilisha.
 
Kamanda Jenerali Gang Chomba, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Kuna series inaitwa IRIS si kawaida niliangalia season 1 na season 2, sasa zimetoka season 3 na season 4 ndiyo ya mwisho, mapumziko yangu weekend hii nitatumia muda mwingi kuziangalia ili nizimalize, nakushauri upate nakala zako, hii series hata Prison Break ni cha mtoto kabisa.

wewe huku angalia prison break vizuri kama uliangalia basi lugha ilikua tabu! Jana 2 ndo nimeimaliza iris season 4 sema wameweza sana lakini sio sawa na prison huo ni mziki mwingine hata ipite miaka mia hakuna ka prison break!
 
Last edited by a moderator:
wewe huku angalia prison break vizuri kama uliangalia basi lugha ilikua tabu! Jana 2 ndo nimeimaliza iris season 4 sema wameweza sana lakini sio sawa na prison huo ni mziki mwingine hata ipite miaka mia hakuna ka prison break!
Kwa hakika wewe ndio unasumbuliwa na lugha, leo nimemaliza IRIS season 4 na haijaisha bado natafuta season 5 kama imetoka, inaonekana uwezo wako ni mdogo wa kusoma Kingereza kwa speed na ku-consider show.

Labda tu niseme kila mtu ana mapenzi yake, kwangu mimi IRIS ni next level hasa kwa watu ambao tunafuatilia matukio ya kimataifa na ndio hali halisi ya Six part talks na sintofahamu ya Pyongyang na Seoul.

Jaribu upya kuanza kufuatilia movie na utakubali kwamba IRIS ni muziki mwingine kabisa na walivyoweza kuwa na washiriki wengi na kila mmoja anafit kwenye nafasi yake. Wait the show from Mr Black kwenye coming season ndio utakubali.......
 
msanii gani wa marekani aliyetoa mada kwenye fb au twitter then uka comment akakujibu tena?
Nitajie mmoja na ushahidi nakurushia vocha ya buku 10 sasa hivi

na ni msanii gani wa marekani akitoa mada kwenye facebook huwa anajibu na kuchat na watu?
Taja mmoja na ushahidi na nitatoa ruhusa ya modes anipige ban ya wiki nzima
Mwangalie 50-cent twitter
 
Back
Top Bottom