C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
wadau wengi wamekuwa wakiwalalamikia wasanii wetu hasa kwenye social networks kama jamii forums, fb, tweeter e.t.c, wamekuwa wavivu kujitokeza, na hata wakijitokeza huanzisha mada na kukaa kimya bila kuchangia, wao furaha yao ni kuona watu wanacoment kwenye topic zao, ila ikitokea ukamuuliza swali hajibu.
Kwa mfano hapa jf ni lini watajisajili kama verified member, maana jf ni mtandao mkubwa e. Africa na africa, nadhani ingekuwa vyema kwao kukaa karibu na fans wao.
Nawasilisha.
msanii gani wa marekani aliyetoa mada kwenye fb au twitter then uka comment akakujibu tena?
Nitajie mmoja na ushahidi nakurushia vocha ya buku 10 sasa hivi
na ni msanii gani wa marekani akitoa mada kwenye facebook huwa anajibu na kuchat na watu?
Taja mmoja na ushahidi na nitatoa ruhusa ya modes anipige ban ya wiki nzima