Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hata Mimi nimeshangaa sanaSasa we unapiga gym hujui ata rate ya steroids kwa celebrities wapiga vyuma Ili kujaa haraka..? Unabishia nini
Hapo juu umevimbiana kama mchele kitumbo alafu huku chini kama chelewa. Mnaitwaga vijebamwaka 12 huu gym sana sili dawa ila nimetobia vibaya mno!
acha kukalilishwa kama wanakula dawa mkuu ukipiga gym miez 3 aloo lazima ubadirike sana.
Hahaha mkuu hawa wabeba vyuma hamna lolote.....VIJANA WANATAKA KULELEWA NA MABIDADA YENYE UCHUMI.
A.K.A funguoNa wasiwe wanaescape leg day maana wengi wao wanaonekana wamejazia juu chini fimbo!
yeah nazipata na nimeelewa ila concept yangu ni kuwa, umaarufu ukishakata na kukawa hakuna wa kumshobokea tena wanapata stress mwishowe haooo kwenye madawa mengie ya kulevyaBablai hizo sio dawa za kulevya...ni gym powders na steroids
Kuna weza kuwa na ukweli kwani hata Arnold schwrzeneeger kuna kipindi nilisikia amefanyiwa upasuaji wa moyo,pia wengi wa hawa wacheza mieleka wamekuwa wakikutana na vifo vya ghafla wakiwa na umri mdogo inasemekana pia ni kutokana na matumizi makubwa ya Steroids...Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.
Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo walikiri kutumia dawa yaani steroids Ili kuboresha muonekano wao. Hata wewe mwanajamvini ukiamua unanunua na unapiga tizi kidogo sana Misuli hiyo inakuja.
Ukinywa hizi dawa utajazia tu ila hazikuongezi nguvu.
Moja ya madhara ya madawa haya ni ugonjwa wa moyo, pressure, lakini pia ukinywa unapata mzuka sana wa kusex kwakuwa inaongeza testorine hormone,
Wasanii wanaokunywa dawa kuongeza Misuli ni Hawa
1. Diamond platnums
2. Harmonize konde
3. Kalisa
Hawa ni wachache ila wapo wengi sana, maromboso aliambiwa asitumie kwakuwa ana ugonjwa wa moyo. Sasa msijekujiuliza mtu alikuwa kimbaumbau Leo Misuli hiyo, hata yule baunsa wa mange ni hivo hivo.
Picha hapa chini ni ng'ombe waliyemnywesha dawa hizo za misuli
Hahaha hata mwili wa juu upo vile sema poda inamsaidiaDomo kuna picha kapiga kavaa pensi ile miguu ni kama spoku za bodaboda
Utaua wala chips na kuku broilers😀😀Zinauzwaje nijaribu kuwawekea kuku wangu wawe vibonge?
Ana mirinjo ndo maana fashion za kuvaa pensi/ bukta anazikwepa😀😀Domo kuna picha kapiga kavaa pensi ile miguu ni kama spoku za bodaboda
Ile ni Misuli, sio nyonyoHuyo Calisah ana gyno aka matiti kabisa