cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu utashangaa hawana marinda..enwei: hayanihusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu utashangaa hawana marinda..enwei: hayanihusu
Zinauzwa ghali kuliko bei ya kukuZinauzwaje nijaribu kuwawekea kuku wangu wawe vibonge?
Kalisa ana hiyo pesa ya kununulia hizo dawa? Au ananunuliwa?Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.
Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo walikiri kutumia dawa yaani steroids Ili kuboresha muonekano wao.
Hata wewe mwanajamvini ukiamua unanunua na unapiga tizi kidogo sana Misuli hiyo inakuja.
Ukinywa hizi dawa utajazia tu ila hazikuongezi nguvu.
Moja ya madhara ya madawa haya ni ugonjwa wa moyo, pressure, lakini pia ukinywa unapata mzuka sana wa kusex kwakuwa inaongeza testorine hormone
Wasanii wanaokunywa dawa kuongeza Misuli ni Hawa
1. Diamond platnums
2. Harmonize konde
3. Kalisa
Hawa ni wachache ila wapo wengi sana, maromboso aliambiwa asitumie kwakuwa ana ugonjwa wa moyo. Sasa msijekujiuliza mtu alikuwa kimbaumbau Leo Misuli hiyo, hata yule baunsa wa mange ni hivo hivo.
Picha hapa chini ni ng'ombe waliyemnywesha dawa hizo za misuli
View attachment 2291475
AvuVijana wanacheza na hatari mno. Bora wangevumilia mazoezi tu
Mkuu za kuongeza butt hamna?Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.
Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo walikiri kutumia dawa yaani steroids Ili kuboresha muonekano wao.
Hata wewe mwanajamvini ukiamua unanunua na unapiga tizi kidogo sana Misuli hiyo inakuja.
Ukinywa hizi dawa utajazia tu ila hazikuongezi nguvu.
Moja ya madhara ya madawa haya ni ugonjwa wa moyo, pressure, lakini pia ukinywa unapata mzuka sana wa kusex kwakuwa inaongeza testorine hormone
Wasanii wanaokunywa dawa kuongeza Misuli ni Hawa
1. Diamond platnums
2. Harmonize konde
3. Kalisa
Hawa ni wachache ila wapo wengi sana, maromboso aliambiwa asitumie kwakuwa ana ugonjwa wa moyo. Sasa msijekujiuliza mtu alikuwa kimbaumbau Leo Misuli hiyo, hata yule baunsa wa mange ni hivo hivo.
Picha hapa chini ni ng'ombe waliyemnywesha dawa hizo za misuli
View attachment 2291475
Basi, nilikuwa nataka ninunue niwafanye kuku wawe kama mbuuuzi. 😂Zinauzwa ghali kuliko bei ya kuku
Siyo misuli ni side effects za kutumia steriods. Waangalie wote hata Harmonize matiti yalivyovimba. Wakiacha kunyanyua vyuma ndiyo utaona nyonyo kabisa hamna misuli. Halafu hii kitu ni unreversible. Wrecking their bodies chemistry like they do for short term gains means they're in it for life. Hata ma producers maarufu, ma DJs, etc nao wanatumia steroids. You can see it.Ile ni Misuli, sio nyonyo
Dah inasikitisha, kwani lazima kujazia. Kwani kujazia Kuna uhusiano na kuimbaSiyo misuli ni side effects za kutumia steriods. Waangalie wote hata Harmonize matiti yalivyovimba. Wakiacha kunyanyua vyuma ndiyo utaona nyonyo kabisa hamna misuli. Halafu hii kitu ni unreversible. Wrecking their bodies chemistry like they do for short term gains means they're in it for life. Hata ma producers maarufu, ma DJs, etc nao wanatumia steroids. You can see it.
You know the drill. Wanahitaji ile swag ili waonekane cool on IG.Dah inasikitisha, kwani lazima kujazia. Kwani kujazia Kuna uhusiano na kuimba