Wasanii Harmonize na alikiba waungana kuishusha WCB

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Ebanaaa hii ndio picha inayotrend hivi sasa ya wasanii harmonize na alikiba wamepiga wakiwa ndani ya ndege, hii imepostiwa kwenye ukrasa wa instagram wa harmonize inaelezwa na leo watapaform ndani ya jukwaa moja[emoji109],
Hii n dalili ya ujio wa nyimbo yao ya pamoja kwa mwenendo huu nawaza kuamini jamaa wanataka kuwashusha wasafi mwaka huu na kama watatoa nyimbo wote basi itakuwa nyimbl most viewers song of all time Tanzania
FB_IMG_16397115251666005.jpg
Screenshot_20211217-005045_Instagram.jpg
 
Ebanaaa hii ndio picha inayotrend hivi sasa ya wasanii harmonize na alikiba wamepiga wakiwa ndani ya ndege, hii imepostiwa kwenye ukrasa wa instagram wa harmonize inaelezwa na leo watapaform ndani ya jukwaa moja[emoji109],
Hii n dalili ya ujio wa nyimbo yao ya pamoja kwa mwenendo huu nawaza kuamini jamaa wanataka kuwashusha wasafi mwaka huu na kama watatoa nyimbo wote basi itakuwa nyimbl most viewers song of all time tanzaniaView attachment 2046915View attachment 2046916

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
A group of locally fixed/homebased music infants, they have had a chronic internationally stunted growth.
 
Ebanaaa hii ndio picha inayotrend hivi sasa ya wasanii harmonize na alikiba wamepiga wakiwa ndani ya ndege, hii imepostiwa kwenye ukrasa wa instagram wa harmonize inaelezwa na leo watapaform ndani ya jukwaa moja[emoji109],
Hii n dalili ya ujio wa nyimbo yao ya pamoja kwa mwenendo huu nawaza kuamini jamaa wanataka kuwashusha wasafi mwaka huu na kama watatoa nyimbo wote basi itakuwa nyimbl most viewers song of all time tanzaniaView attachment 2046915View attachment 2046916

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app

hata wewe mtoa uzi unajua kuna watu wanaungana wakupoteze katika riziki yako unayo pata
 
Ebanaaa hii ndio picha inayotrend hivi sasa ya wasanii harmonize na alikiba wamepiga wakiwa ndani ya ndege, hii imepostiwa kwenye ukrasa wa instagram wa harmonize inaelezwa na leo watapaform ndani ya jukwaa moja[emoji109],
Hii n dalili ya ujio wa nyimbo yao ya pamoja kwa mwenendo huu nawaza kuamini jamaa wanataka kuwashusha wasafi mwaka huu na kama watatoa nyimbo wote basi itakuwa nyimbl most viewers song of all time tanzaniaView attachment 2046915View attachment 2046916

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Ali kiba hazeeki
 
Yale yale mbongo mpe picha tu habari atatunga mwenyewe.
 
Akili za kula mandazi hizi.

Yani watu kukutana kwenye ndege na kupiga picha ndiyo wameungana kumuangusha mwingine?
Mtu akifuga ndevu kamuiga rick ross, watu wakiamua kupiga show pamoja wapate pesa wameungana kumshusha wcb, watu wakiandaa show ikaangukia siku moja na mwingine, basi wanataka kumwaribia show yake.
Hii ndiyo Tanzania
 
Ebanaaa hii ndio picha inayotrend hivi sasa ya wasanii harmonize na alikiba wamepiga wakiwa ndani ya ndege, hii imepostiwa kwenye ukrasa wa instagram wa harmonize inaelezwa na leo watapaform ndani ya jukwaa moja[emoji109],
Hii n dalili ya ujio wa nyimbo yao ya pamoja kwa mwenendo huu nawaza kuamini jamaa wanataka kuwashusha wasafi mwaka huu na kama watatoa nyimbo wote basi itakuwa nyimbl most viewers song of all time tanzaniaView attachment 2046915View attachment 2046916

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
kinachoniumiza Zaid Ni huo ujinga wako
 
Kichwa chako unabeba Kama mzigo..alianguka Michael Jackson itakuwa Mondi..kila chenye mwanzo kina mwisho..
Samahani mkuu!!!!!..mimi sijui hayo mambk ya Mond wala Alikiba na sio shabiki wao na nilikuwa sitaki kucomment kwa post hii lakini imenibidi baada ya kuona ulichoandika kuhusu Mj nicomment ni hivi Michael Jackson hajawahi kuchuja(kuanguka) mpaka siku umauti unampata alikuwa na mauzo ya juu hadi anafariki 2009 kwanza kabla hajafariki siku mbili kabla alikuwa na Concert iliyojaza maelfu ya watu Mjini Los Angeles, CA na alikuwa na concert nyingine ambayo tiketi zilikuwa sold out ilipangwa kufanyika siku ambayo alifariki June 25 2009..Hakuna siku ambayo amewahi kuanguka tangu alipoanza kuimba mwaka 1968 akiwa na miaka 12 na kundi lake la Jackson 5 na alipendwa tangu utoto wake na alipokuwa solo artist kuanzia miaka ya 80 umaarufu ukazidi mara nne na hakuwahi kushuka hata siku moja mpaka sasa wimbo wake wa thriller haujawahi kuwa out moja kwa moja katika chart za billboards tangu miaka hiyo ya 80 unaingia na kutoka na mpaka sasa upo nafasi hiyo

20211217_151643.jpg
 
Back
Top Bottom