kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Umeharibu mjadala baada ya kuanza na matusi na kashifa! Labda utupe kwanza vigezo vya kuonesha msanii ametoka! Kama mtu anapata show kubwa zote mfano Kala ,Mkatoliki na V money na bado unasema hawajatoka sasa viashilizi vya msanii kutoka ni vipi?

ndio hapo mkuu V money adi Naija wamempa tuzo mshkaji anadai hajatoka!!!
Nilisubiri umtaje Kala Pina aje hapa akutoe mamimacho yako!
Pina katoka nusu halafu karudi shimoni
Anapigaga kelele tu huyo
Wasanii wengi wa tz ni wa promo tu,wengi hawajatoka ila wanatolewa na promo za kufa mtu promo ikikata na wao wanapotea,mcheck shetta,timbulo,dulayo,rich mavoko,samir kinyuli,suma mnazaleti etc,wasanii waliotoka ni kama 20paaa haitaji promo huyo chalii.
Aliyetoka anajulikana tu wewe unataka vigezo umekua madame rita wa bss?
Wapo wanaodai katoka ukiwauliza katoka na nyimbo gani wanasepa!
Nakuuliza tena viashilizi vya msanii aliye toka ni vipi?