BOWTHRUSTER
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 389
- 156
Snura, kr mullar, ditto, dogo janja, s kide, tanzanite
huwezi msahau NEY WA MITEGO huyu jamaa mpaka kesho sijui anafanya kitu gani..ila ananifurahisha anavyojiita bonge la mc.eti beat anaiandikia wimbo hapohapo sa sijui wimbo gani anazungumzia..
Mabaga fresh
huwezi msahau NEY WA MITEGO huyu jamaa mpaka kesho sijui anafanya kitu gani..ila ananifurahisha anavyojiita bonge la mc.eti beat anaiandikia wimbo hapohapo sa sijui wimbo gani anazungumzia..
roma amechukua tuzo mbili za kill awards 2012 zote za hiphop; hivi sikuhizi hata kama haujatoka unapata tuzo kama hizo? kwanza tuzo moja hapo ilikuwa msanii bora wa hiphop Tanzania;kwa hiyo kumbe unaweza ukawa msanii bora wa hiphop na uwe bado haujatoka? kama ndivyo shame on Kilimanjaro music awards, na kama siyo sikunyingine jaribu kushirikisha ubongo kidogo kwa vitu unavyopost.1. Kala Jelemiah -
2. Roma Mkatoliki - Huyu ni kama ameimba nyimbo moja tu toka aanze muziki nyimbo zake zote zinafanana- soon atapata stress huyu jamaa
3. Vanessa Mdee- Hajijui kama hajatoka na hawezi kutoka kwa kuwa hana kipaji
4. Luteni Karama- Hajawahi kutoka kama unabisha weka nyimbo iliyomtoa hapa
5. Pingu na Desso- Wanajijua hawajatoka
6. Abdu Kiba- Hajatoka ingawa hajijui
7. Snare
8. Ongeza na wewe
huyo ney simkubali kabisa yeye kuponda wenzake tu utadhani ndio mganga wake alivyomwambia
huwezi msahau NEY WA MITEGO huyu jamaa mpaka kesho sijui anafanya kitu gani..ila ananifurahisha anavyojiita bonge la mc.eti beat anaiandikia wimbo hapohapo sa sijui wimbo gani anazungumzia..
Viashirizi ni kutaja nyimbo zilizowatoa na kutamba ndani ya nchi au nje ya mipaka ya nchi na siyo promo za kulazimisha. haya rudi utoe huo uashirizi wako sasa
Kwanza unatakiwa kujua hakuna msanii anaye weza kutoka bila promo na hii ni duniani kote si Tanzania tuu! Kwa hiyo promo ni lazima.
Umeniuliza nyimbo za hao nilio wataja!
V -money- Closer,hawajui.
Kala -Dear God
Roma-mathematic....huyu anazo nyingi.