Wasanii hawa hawajawahi kutoka ingawa hawajijui

Wasanii hawa hawajawahi kutoka ingawa hawajijui

huwezi msahau NEY WA MITEGO huyu jamaa mpaka kesho sijui anafanya kitu gani..ila ananifurahisha anavyojiita bonge la mc.eti beat anaiandikia wimbo hapohapo sa sijui wimbo gani anazungumzia..
 
Snura, kr mullar, ditto, dogo janja, s kide, tanzanite

Mullar aliwahi kutoka ila akarejea tena shimoni!.. unaikumbuka cheza mbali na kasheshe? ile ilimtoa mullar na mwenzake
 
huwezi msahau NEY WA MITEGO huyu jamaa mpaka kesho sijui anafanya kitu gani..ila ananifurahisha anavyojiita bonge la mc.eti beat anaiandikia wimbo hapohapo sa sijui wimbo gani anazungumzia..

huyu si katolewa na diomond? wengine wanaona waki wa diss wenzao ndio kutoka! ndio huyo jamaa mitego ambaye haeleweki ni mgumu brothermen au shoga! hasomeki kabisa
 
huwezi msahau NEY WA MITEGO huyu jamaa mpaka kesho sijui anafanya kitu gani..ila ananifurahisha anavyojiita bonge la mc.eti beat anaiandikia wimbo hapohapo sa sijui wimbo gani anazungumzia..

Hahahahaaaaaaa
 
1. Kala Jelemiah -

2. Roma Mkatoliki - Huyu ni kama ameimba nyimbo moja tu toka aanze muziki nyimbo zake zote zinafanana- soon atapata stress huyu jamaa

3. Vanessa Mdee- Hajijui kama hajatoka na hawezi kutoka kwa kuwa hana kipaji

4. Luteni Karama- Hajawahi kutoka kama unabisha weka nyimbo iliyomtoa hapa

5. Pingu na Desso- Wanajijua hawajatoka

6. Abdu Kiba- Hajatoka ingawa hajijui

7. Snare

8. Ongeza na wewe
roma amechukua tuzo mbili za kill awards 2012 zote za hiphop; hivi sikuhizi hata kama haujatoka unapata tuzo kama hizo? kwanza tuzo moja hapo ilikuwa msanii bora wa hiphop Tanzania;kwa hiyo kumbe unaweza ukawa msanii bora wa hiphop na uwe bado haujatoka? kama ndivyo shame on Kilimanjaro music awards, na kama siyo sikunyingine jaribu kushirikisha ubongo kidogo kwa vitu unavyopost.
 
huyo ney simkubali kabisa yeye kuponda wenzake tu utadhani ndio mganga wake alivyomwambia
 
huwezi msahau NEY WA MITEGO huyu jamaa mpaka kesho sijui anafanya kitu gani..ila ananifurahisha anavyojiita bonge la mc.eti beat anaiandikia wimbo hapohapo sa sijui wimbo gani anazungumzia..

Nay fundi
 
Best nasso, sajna, sisal madini, jambo squad, mirror, babuu wa kitaa, country boy, stamina, bonta, jose mtambo,
 
V money anaonekana anajitahidi sababu ya promo...ila hakuna nyimbo unaeza kaa ukasikiliza..
 
Viashirizi ni kutaja nyimbo zilizowatoa na kutamba ndani ya nchi au nje ya mipaka ya nchi na siyo promo za kulazimisha. haya rudi utoe huo uashirizi wako sasa

Kwanza unatakiwa kujua hakuna msanii anaye weza kutoka bila promo na hii ni duniani kote si Tanzania tuu! Kwa hiyo promo ni lazima.

Umeniuliza nyimbo za hao nilio wataja!
V -money- Closer,hawajui.
Kala -Dear God
Roma-mathematic....huyu anazo nyingi.
 
KALAh Jeremiah kwa maoni yangu ungemtoa kwenye list yako,ana huu wimbo wake mpya siikumbuki title yake ila ni kama unazungumzia ugumu wa maisha,asee ujumbe wake umetulia sana.
 
Last edited by a moderator:

Hizo nyimbo ulizotaja zote hazijawatoa licha ya kupata promo..lakini hukatazwi kuzipenda na kuwapenda waimbaji wake si unajua penzi ni kikohozi!
 
KALAh Jeremiah kwa maoni yangu ungemtoa kwenye list yako,ana huu wimbo wake mpya siikumbuki title yake ila ni kama unazungumzia ugumu wa maisha,asee ujumbe wake umetulia sana.

Ukiona unapata shida kuikumbuka nyimbo basi ujue ni ya kawaida hata kama inamtaja mungu na inahubiri mema. Nyimbo nzuri huimbwa na kila mtu kama wimbo wa taifa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom