NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Mnasubiri achoke ndo muaminisema hakyaMungu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasubiri achoke ndo muaminisema hakyaMungu....
anakonda yumo bint furaha
Bila shaka wewe ni MwanaFatuma au kibaraka wake Rugay.Anakonda yumo bint furaha
sababu ya hii
Hii thread inanichekesha sana: sembe maalum mara wengne washauri waache kula unga wale makande. Ila jamani nisaidieni GK, O ten wapo wapi?
Kama vile hawakusikia ulipowaonya Yani wote wameangukia pua .Napenda kuchukua nafasi hii hapa jamvini,kuwashauri wasaniii wafuatao warudi katika mstari waache tabia hiyo.
Sitaki kusema ni tabia gan lakini hii list mtu akisoma atajua ni tabia gani wanafanya.hii itawakosti siku moja wasipoacha.
List ni hii:
1.Tid
2.Daz baba
3.Squezer
4.chid benz
5.o-ten
6.Mr.Blue
7.......ongezea wengne
Wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo basi laja kesho.Duh watu walikua wanaona mbali sana.. Hapo Blue tu ndio atleast
Jukwaa limepoa kila ukipita mtaa huu hakuna mpya zaidi ya story ya uwoya na madanga yake, ussssng mtupu.Siku maalum ya kufukua makaburi, Mad Max unasaka nyuzi za kitambo unazileta live.
Blue anakula kijiti tuDuh watu walikua wanaona mbali sana.. Hapo Blue tu ndio atleast