Wasanii hawa wabadilike mara moja

Wasanii hawa wabadilike mara moja

Wanatumia powder

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi MAJUZI nimemuona Msanii DULAYO hali yake ikiwa ni TETE... Nini kimewakumba hawa Bongo Fleva?
 
Hii thread inanichekesha sana: sembe maalum mara wengne washauri waache kula unga wale makande. Ila jamani nisaidieni GK, O ten wapo wapi?
 
TID anatia huru afu analeta vizuri wakati kachoka pitiliza.....Dah Natasha hawa aisee....
 
Sababu ya hii

ganja clan.jpg
 
Hii thread inanichekesha sana: sembe maalum mara wengne washauri waache kula unga wale makande. Ila jamani nisaidieni GK, O ten wapo wapi?

GK yupo huko bongo kwa sasa,ila huwa haishi safar za nje kwa jamaa zake huku,sema anachora ramani.hivi juzi alikuwa pia kwenye tuzo za kik kutoa zawadi.

Kwa mtazamo wangu sidhan kama anakula dawa maana huwa nakutana nae akiwa huku japo hanifaham,ila afya yake iko poa na anavihela kiaina
 
Napenda kuchukua nafasi hii hapa jamvini,kuwashauri wasaniii wafuatao warudi katika mstari waache tabia hiyo.
Sitaki kusema ni tabia gan lakini hii list mtu akisoma atajua ni tabia gani wanafanya.hii itawakosti siku moja wasipoacha.
List ni hii:
1.Tid
2.Daz baba
3.Squezer
4.chid benz
5.o-ten
6.Mr.Blue
7.......ongezea wengne
Kama vile hawakusikia ulipowaonya Yani wote wameangukia pua .
 
Siku maalum ya kufukua makaburi, Mad Max unasaka nyuzi za kitambo unazileta live.
 
Siku maalum ya kufukua makaburi, Mad Max unasaka nyuzi za kitambo unazileta live.
Jukwaa limepoa kila ukipita mtaa huu hakuna mpya zaidi ya story ya uwoya na madanga yake, ussssng mtupu.

Heri tukumbushie tu. Hata kunatokeaga siku unakosa mbususu mpya kila ukiscroll phonebook hakuna mpya inabidi uite ya zamani zaidi uipige inakuwa una hamu nayo kidogo inaamsha maana long time
 
Back
Top Bottom