Wasanii hujifanya wana pesa, wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango

😂😂😂😂 noma sana, kwani huyo ni msanii.
Huyo si ni tajiri, ila sielewagi hizo sifa ni za namna gani aisee.
 
Nini maana ya hii kauli yako

''Kujifanya wana Pesa''

Hua wanajifanya wana pesa ila hawana pesa? mfano kwenye hiyo clip,huyo kajifanyaje hapo kua ana pesa? hizo pombe kapewa bure ili ajifanye ana pesa?

Naomba kueleweshwa kutoka huko Daslam.
 
Hao ni kuonea huruma kabisa....Tatizo hao kazi za dili akitoka ndio anapata akiiumwa mwaka basi habari yake kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…