Wasanii hujifanya wana pesa, wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango

Wasanii hujifanya wana pesa, wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango

Rugemalira naye si aliumwa hadi kupitisha bakuli!
Kuna magonjwa hata kama ulikuwa na biashara hadi unafirisika.

Kuna dada fulani rafiki yangu alimuuguza mzazi wake hadi akafilisika na akauza hadi gari lakini bado Mungu akamchukua.

Tuombe tu uzima.
 
uzi wako usomeke Wasanii wanatumia vibaya pesa zao kuringishia zikiisha wakiunwa wanakuja kwetu
 
Prof Jay kwenye bongo dar es salaam alisema: je wajua mustakabali wa masupastaa wa bongo? Lazima ufuzu chuo kikuu cha mbwembwe za uongo
 
Acheni kupangia watu na matumizi ya pesa zao. Hata ww usipomchangia wengine watamchangia
 
uzi wako usomeke Wasanii wanatumia vibaya pesa zao kuringishia zikiisha wakiunwa wanakuja kwetu
Wana hela gani bwana!?...niambie umenunua kazi zao ngapi mwaka jana na huu na show wanafanya ngapi kwa mwaka na wanalipwa sh ngapi?...hawatumii hela vibaya hawana kipato kikubwa tuwachangie tu
 
Hana pesa huyo nakuambia,Usuuze glass na Hennessy alafu ufute na Tishu?Stupid.
Angetuonyesha inaumri gani hiyo pombe.
 
Yote Maisha tuu, kuumwa kunaweza kumkuta yeyote hata ambaye Hana show off, yakikukuta pambana tuu ukishindwa si unakufa tuu kama Kila mtu, wote mwisho wetu mmoja no matter what
 
Wana hela gani bwana!?...niambie umenunua kazi zao ngapi mwaka jana na huu na show wanafanya ngapi kwa mwaka na wanalipwa sh ngapi?...hawatumii hela vibaya hawana kipato kikubwa tuwachangie tu
Acha ushamba Sasa hivi kazi zinauzwa mtandaoni sio kama zamani wewe halafu kuwa msanii hakumzuii mtu kufanya biashara nyingine fata maisha Yako mzee
 
hivi unawajua wasaniii au umeandaa uzi ili na wew upate comments?
 
Back
Top Bottom