Wasanii jitahidini sana muwe na Mionekano ya Kuheshimika msionekane Vibaka, halafu tupunguze pia kuwa Watu wa Madili na tuache sasa kuvuta Bange sawa?

Wasanii jitahidini sana muwe na Mionekano ya Kuheshimika msionekane Vibaka, halafu tupunguze pia kuwa Watu wa Madili na tuache sasa kuvuta Bange sawa?

Inasemekana mwamba alikuwa tungi sana wakati anakutana na mkasa
 
Leo Roho Mtakatifu kanitembelea na kuniagiza GENTAMYCINE nije kuwapeni huu Ushauri mzuri nikiamini utawafaa Ok?
Ujumbe wako mzuri ila humu hutawapata mtu kashaitwa msanii huwezi muona jf labda huko tiki toku, insta nk.
 
Back
Top Bottom