Wasanii jitambueni msitumike kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24

Wasanii jitambueni msitumike kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam,

Nimesikia tangazo kutoka radioni linalomuhusu msanii wa bongo fleva Joe Makini Mwamba wa Kaskazini akihamasisha wananchi kupigia kura CCM Nov 24 kabla hata kampeni hazijaanza nikajiuliza amepewa shilingi ngapi na itamsaidie nini? Katika uchaguzi huu ambao mshindi ameshajulikana watu wakapige kura za nini?

Kwa mtazamo wangu ni vema Serikali isifanye uchaguzi huu kuokoa kodi za wananchi ili pesa hizo zikanunue madawa hospital au kakurabati miundombinu na madaraja hao waliopita bila kupigwa waapishwe tu hiyo Nov 24.

Maendeleo yana vyama.

Ova.
 
Jo makini kwny wimbo wake wa mchele ameimba hivi:

'Tunawalisha sana ndio maana bado mnakunya.'

So huyo ni mtu ambae upstairs hamna kitu cha maana ataongea akasikilizwa.
 
Wazo lako linafaa sana. Bonge la great think. Washindi wanajulikana, tuokoe fedha ya umma na muda tufanye mengine kwa faida!
 
"...sanaa wanafanya wao, usiwapangie cha kuimba isipokuwa kama hupendi wanachoimba, achana nao usiwaunge mkono..." Magufuli baba lao #Diamond
 
Utasikia kiongozi wa wanyonge anapendwa na kila mtu. Hivi mtu ukipendwa unakuwa na roho ya kikatili vile?
 
Hivi mtu ukiwa na wimbo wa #Magufuli2020 unatakiwa kumuona nani aweze kutoa support Polepole au Makonda...?
 
Ukifuatilia kwa makini utagundua wasanii wanaojitambua ni wachache sana,wengi wanatumiwa tu na kina Bashite
 
Huo ushauri ni kwa wasanii wetu hawa hawa? au wengine mkuu ?
 
Kawe Alumni,
BAADA YA kuwadanganya mtawapa ubunge, wanatitilika, Huyuwa juzi nae sijui alikuwa anajisaidia haja kubwa akaibuka na nyimbo "baba lao........, sijui bashite baba lao, baba lao........."
kaz kweli kweli
 
Back
Top Bottom