Wasanii Justin Bieber na Selena Gomez warudiana

Wasanii Justin Bieber na Selena Gomez warudiana

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Wasanii Justin Bieber na Selena Gomez wathibitisha kurudiana baada ya kusambaa picha zao wakiwa wanabusiana.
gettyimages-133687075-1510950703.jpg
 
Mungu amejibu maombi

Kila leo naliomba hawa watu warudiane
Aisee hapa ndipo nina amini kuwa kila mtu ana shida zinazotofautiana na mwingine.
Wakati wengine wako busy wanaomba Mungu awape pesa, wengine awaponye magonjwa, wengine wafaulu mitihani kumbe kuna mwingine shida yake ni Bieber ma Gomez kurudiana.
Wakati mwingine akiomba ajaliwe pesa amiliki hata Sun Lg, mwingine daily anamlilia Mungu kwamba ile Benz kaichoka amjalie ana shida na Range.
 
Hizi picha mbona kama za kitambo, JB sasa hivi kakomaa sura hata huyo selena mwenyewe pia kawa mdada kimtindo.
 
Am happy for them
Nilitamani sana warudiane........jb alianza kuvurugika kistep
 
Mbna Justine sasa hivi katulia sana sisikii makeke yake kama zamani,

Kesho utaskia katoa Album na kauza Platnumz ndani ya siku 2.... Bongo sijui wamemkosea nn Mungu msanii anatoa album anauza copy kumi tu tena kwa kuzisambaza mwenyewe
 
Aisee hapa ndipo nina amini kuwa kila mtu ana shida zinazotofautiana na mwingine.
Wakati wengine wako busy wanaomba Mungu awape pesa, wengine awaponye magonjwa, wengine wafaulu mitihani kumbe kuna mwingine shida yake ni Bieber ma Gomez kurudiana.
Wakati mwingine akiomba ajaliwe pesa amiliki hata Sun Lg, mwingine daily anamlilia Mungu kwamba ile Benz kaichoka amjalie ana shida na Range.
Haa haa haa haaa Mungu wetu anakaz
Sana
 
Back
Top Bottom