Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi mkuu...picha tafadhar...Wasanii Justin Bieber na Selena Gomez wathibitisha kurudiana baada ya kusambaa picha zao wakiwa wanabusiana.
Heeeee aiseeMungu amejibu maombi
Kila leo naliomba hawa watu warudiane
Aisee hapa ndipo nina amini kuwa kila mtu ana shida zinazotofautiana na mwingine.Mungu amejibu maombi
Kila leo naliomba hawa watu warudiane
Embu niombee na mm maanaMungu amejibu maombi
Kila leo naliomba hawa watu warudiane
Haa haa haa haaa Mungu wetu anakazAisee hapa ndipo nina amini kuwa kila mtu ana shida zinazotofautiana na mwingine.
Wakati wengine wako busy wanaomba Mungu awape pesa, wengine awaponye magonjwa, wengine wafaulu mitihani kumbe kuna mwingine shida yake ni Bieber ma Gomez kurudiana.
Wakati mwingine akiomba ajaliwe pesa amiliki hata Sun Lg, mwingine daily anamlilia Mungu kwamba ile Benz kaichoka amjalie ana shida na Range.
Fumba macho nikuombeeEmbu niombee na mm maana
Hata mm yang yamesambaratika
Aisee moja haikai wala mbili
Hawa wadada dhaa!!
Hapa ndo unaona mwanaume huumiaAm happy for them
Nilitamani sana warudiane........jb alianza kuvurugika kistep