Wasanii kazini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Wizi umekuwa mkubwa na wazi kasi Kwamba chama sasa kinanunuka. Tuhuma na matukio ni kila mahali. Chama kimeachwa uchi wa mbuzi
Sasa kujinasua kwenye hili tope wameamua kujisafisha kwa kuwangushia jumba bovu wengine…

Wakiamua kujibu mapigo…

 
Mbona sasa Mchengerwa anasema hakuna dosari zozote katika zoezi la uandikishaji ? Kweli huu ni utawala uliofitinika.
 
Kumbe "uchafuzi" bado upo? Si mlisema ilikuwa ni kazi ya Magufuli, katangulia mbele ya haki na bado uchafuzi umeongezeka kwa Kasi ya 5G
 
Kama wenyewe wanakiri hivyo basi na tubatilishe zoezi lote tujipange kwa namna iliyo bora ili ubatili huu tuu ondoshe kwa maslahi ya taifa na sii kwa maslahi ya chama.Je kusuasua kwa uandikishaji haishabiihani na ubatili huu wa nyakati zote?
Wameikana baada ya kuona inachanja mbuga mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…