Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Kiufupi huu mchezo wanaouanza utawaponza wenyewe na tumeona na tumethibitisha msanii mario kutumia maroboti kuboost views huku akijitamba kwa kuwashukuru mashabiki ilihali anajua kabisa mshabiki halisi hatuna mpango nae..
Nyimbo ya Mario leo imefika viewz mil 1+ youtube lakini cha kushangaza ukiangalia haina trending ilihali nyimbo za wasanii wenzake rose muhando na paten na wengine waliotoa nyimbo hivi karibuni wakiwa na trending 1.2.3 ilihali hawana views wengi kama mario.
Nini kimefanyika??
Video imewekwa sponsored inaonekana kama tangazo lengo ni kuonekana sana lakini pamoja na hayo mario katumia pesa yake mwenywe kuboost views kwa maroboti hadi kuna muda yalikosea kuandika views.
hili batle ni kali na wasanii wakubali tu yaishe.
Mambo kwa ushahidi hapa chini picha namba 1 jinsi video ya mario pamoja na kuonekana kufanya vizuri ila haina trending
2 makosa ya maroboti wakati nyimbo ilipokuwa na views laki 3 ila ikakosea kuandika.