Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
- Thread starter
- #21
siti ya nyuma alikuwepo mario mana walikuwa omy na diamond mario na mwingineYule alikuwa mond
siti ya nyuma alikuwepo mario mana walikuwa omy na diamond mario na mwingineYule alikuwa mond
Ngoma ilipokuwa na views 320k hiyo ni animation ambayo inatengenezwa kusoma kama namba ili awaoneshe mashabiki wakeKiufupi huu mchezo wanaouanza utawaponza wenyewe na tumeona na tumethibitisha msanii mario kutumia maroboti kuboost views huku akijitamba kwa kuwashukuru mashabiki ilihali anajua kabisa mshabiki halisi hatuna mpango nae..
Nyimbo ya Mario leo imefika viewz mil 1+ youtube lakini cha kushangaza ukiangalia haina trending ilihali nyimbo za wasanii wenzake rose muhando na paten na wengine waliotoa nyimbo hivi karibuni wakiwa na trending 1.2.3 ilihali hawana views wengi kama mario.
Nini kimefanyika??
Video imewekwa sponsored inaonekana kama tangazo lengo ni kuonekana sana lakini pamoja na hayo mario katumia pesa yake mwenywe kuboost views kwa maroboti hadi kuna muda yalikosea kuandika views.
hili batle ni kali na wasanii wakubali tu yaishe.
Mambo kwa ushahidi hapa chini picha namba 1 jinsi video ya mario pamoja na kuonekana kufanya vizuri ila haina trending
2 makosa ya maroboti wakati nyimbo ilipokuwa na views laki 3 ila ikakosea kuandika.
Oh kumbe, bc mm nikajua n omy na mond tuu ndo walikuwa palesiti ya nyuma alikuwepo mario mana walikuwa omy na diamond mario na mwingine
Mond (Ndo alikua muongoza kikao), alikua amekaa na yule ***** mbele Ommy D na siti za nyuma alikuepo Marioo na Jux..Oh kumbe, bc mm nikajua n omy na mond tuu ndo walikuwa pale
Hiyo ni milioni 3.2Kiufupi huu mchezo wanaouanza utawaponza wenyewe na tumeona na tumethibitisha msanii mario kutumia maroboti kuboost views huku akijitamba kwa kuwashukuru mashabiki ilihali anajua kabisa mshabiki halisi hatuna mpango nae..
Nyimbo ya Mario leo imefika viewz mil 1+ youtube lakini cha kushangaza ukiangalia haina trending ilihali nyimbo za wasanii wenzake rose muhando na paten na wengine waliotoa nyimbo hivi karibuni wakiwa na trending 1.2.3 ilihali hawana views wengi kama mario.
Nini kimefanyika??
Video imewekwa sponsored inaonekana kama tangazo lengo ni kuonekana sana lakini pamoja na hayo mario katumia pesa yake mwenywe kuboost views kwa maroboti hadi kuna muda yalikosea kuandika views.
hili batle ni kali na wasanii wakubali tu yaishe.
Mambo kwa ushahidi hapa chini picha namba 1 jinsi video ya mario pamoja na kuonekana kufanya vizuri ila haina trending
2 makosa ya maroboti wakati nyimbo ilipokuwa na views laki 3 ila ikakosea kuandika.
Kwani na wewe Mario bwana wakoKwahiyo wewe unaathirika vipi na shughuli zako za kutafuta ugali kupitia nyimbo ya Marioo.
JIKITE KWENYE MADAKwani na wewe Mario bwana wako