Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
huyu bora angefuta nyimbo kama jux 😂Acha waendelee kujitekenya wakicheka wenyewe, hawaupendi ukweli,wamezoea uongo
Kwani wewe ulikuwa unasemaje?Kwahiyo wewe unaathirika vipi na shughuli zako za kutafuta ugali kupitia nyimbo ya Marioo.
Kama nilivyoandikaKwani wewe ulikuwa unasemaje?
Rudia Tena Kuna kitu ulitaka kukiweka wazi ila umesitaKama nilivyoandika
athari ni za 29 october kwaiyo kaa kimyaKwahiyo wewe unaathirika vipi na shughuli zako za kutafuta ugali kupitia nyimbo ya Marioo.
Jux kafuta?huyu bora angefuta nyimbo kama jux 😂
Kabusti vyuwazi feki ili apate ego mujini marioo amekwama aiseeYani 320,0000 😂
Kwanza tuu views haziwezi kuwa namba kamili hvy
Alipitiwa nae hakuona vzr 😂Kabusti vyuwazi feki ili apate ego mujini marioo amekwama aisee
Huyu jamaaa sindio alituambia tufanye kazi akiwa na yule mtoto zoba wa gsm sijui anaitwa omi nani sijuiAlipitiwa nae hakuona vzr 😂
Hiyo ya marioo sijaielewa digit za koma mbili imewekwa mojaa🤣🤣Kiufupi huu mchezo wanaouanza utawaponza wenyewe na tumeona na tumethibitisha msanii mario kutumia maroboti kuboost views huku akijitamba kwa kuwashukuru mashabiki ilihali anajua kabisa mshabiki halisi hatuna mpango nae..
Nyimbo ya Mario leo imefika viewz mil 1+ youtube lakini cha kushangaza ukiangalia haina trending ilihali nyimbo za wasanii wenzake rose muhando na paten na wengine waliotoa nyimbo hivi karibuni wakiwa na trending 1.2.3 ilihali hawana views wengi kama mario.
Nini kimefanyika??
Video imewekwa sponsored inaonekana kama tangazo lengo ni kuonekana sana lakini pamoja na hayo mario katumia pesa yake mwenywe kuboost views kwa maroboti hadi kuna muda yalikosea kuandika views.
hili batle ni kali na wasanii wakubali tu yaishe.
Mambo kwa ushahidi hapa chini picha namba 1 jinsi video ya mario pamoja na kuonekana kufanya vizuri ila haina trending
2 makosa ya maroboti wakati nyimbo ilipokuwa na views laki 3 ila ikakosea kuandika.
Yule alikuwa mondHuyu jamaaa sindio alituambia tufanye kazi akiwa na yule mtoto zoba wa gsm sijui anaitwa omi nani sijui