Wasanii kuboost views kuwavimbia Gen Z ni kujidanganya wenyewe

Ngoma ilipokuwa na views 320k hiyo ni animation ambayo inatengenezwa kusoma kama namba ili awaoneshe mashabiki wake


Ahsante
 
Mnajazana wenyewe huko kwenye nyimbo zao af mnasema wananunua??

Mimi hata app ya youtube sina.
Tik tok sina
Instagram sina
Facebook sina
Twitter sina
Telegram sina

Katika mitandao ya kijamii natumia JF tu.

Hao wasanii nitawajulia wapi.

Ila nyie Gen Z uchwara kila kona yanscial media mmejazana kama mazuzu sasa hao wasanii mtawakwepea wapi??

Acheni unafiki mburura nyie
 
Hiyo ni milioni 3.2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…