Wasanii kumi wa bongo ambao hawana nidhamu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
1. T.I.D
Kauli mbaya na dharau ni kawaida kwake

2. Chidy Benz
Ukisikia kampiga mtu alafu ukashangaa basi utakua mgeni nchini na labda kama hujawai kumsikia msanii huyu.ngumi ndio maisha yake sitoshangaa akiingia kwenye masumbwi mda wowote.alama ya nondo iliyopo upande wa kulia wa kichwa chake ndio ishara tosha ya misukosuko anayokumbana nayo

4. Lord Eyes
Unga unga unga huo ndio wimbo unaomfanya msanii huyu acheze michezo ya wizi kila kukicha ni umaarufu tu unamuokoa watu wanashindwa kumtenda vibaya sababu wanamjua mfano ommy dimpoz aliamua kumpotezea tu kisa anamfahamu.

5. Hemed
Alipokua tusker project fame aliwai kujibizana na jaji ian kiasi cha kutaka kupigana .kifupi ni mtu asiefikiria kabla ya kuzungumza anaweza kukujibu jibu lolote bila kutambua kama yy ni star. Bado hajakua uvumilivu wa kiutu uzima hana mropokaji mzuri sana

6. Dully Skyes
Matusi kwake ni kawaida na dharau kidogo hasa za mdomoni na pia ukiwa unamuhoji kua makini maana anaweza akaongea neno baya redioni bila shaka aliwai kumtongoza dj fetty hewani na kumtukana suddy brown hewani lakini ni muelewa kwani baadae aliomba radhi uswahili na kukosa shule tu vinamsumbua

7. Afande Sele
Kila mtu kagombana na mtu huyu hio ni story ambayo ipo kila kona ya mtaa kuhusu mtu huyu anaongea kwa busara ila akipata mambo yake anaweza kufanya jambo ambalo litakufanya ufikiche macho kuhakikisha kama kafanya yeye au mtu mwingine aliwai kutishia kuua,kuvua nguo jukwaani, na nk

8. Matonya
Huyu yeye ni utapeli tu ndio tatizo lake ukimpa hela ya show kua nae makini sana

9. Mh. Temba
Ukiwa una sikiliza nyimbo ya huyu jamaa usikae na mtu mzima maana utaaibika tu matusi ni moja ya vitu anavyopenda kuvitamka na haonyeshi dalili ya kubadilika kila siku

10. Kimbunga Mchawi
Huyu ni mpya kwenye game ila kitendo chake cha kishujaa kwa mafilauni kimemfanya aingie kwenye top ten yeye alimlawiti Linna Sanga baada ya kumnywesha madawa kwenye kinywaji lakini nashangaa msanii huyu anataka kuitwa kioo cha jamii
 
namba tatu ongezea
 
Hapa bongo kuna maudhii mnoo unaweza kujikuta mtu umemjibu hovyoo hata siwashangaii kama TID napenda majibu sikiliza kwenye sporah show utachekaa,halaf Hemmed yule jajii alikua anamuoneaa ni afadhali alivyokua anamjibu kinundaa aisee
 
Wema Sepetu ====> Alivamia office za watu na kuanza Kutukana !

Diamond =====> Alivua sualuari na kuonyesha Boxer kwa mashabiki !

LuLu Michael ======> Kawatukana watu Instagram ! Kisa yeye alikua ana lala na kuamka na mare**mu

Diva ======> Kamdharau mpaka mweshimiwa wa bung3 zi** kab**3

Ahsante
 
Kwa vile namba 3 hujaiweka basi acha ni iweke.
Kapiteni John Komba. Anatukana tukana hovyo mjengoni na jana kasema kama serikali tatu zitapita ataingia msituni.


Sent from my iPad using JamiiForums

Yaan huyo Kombaa wataniachiaa mieee namtoshaa nampa kichwa kimojaa hadi uzito utaupunguaa maninaa zakee
 
Na. 10. Hizi ni shutuma au kama ni kweli .

Kumbe lina alishananiliwa na huyo jamaa du...
 
Hakuna aliyemfikia Dudubaya.

Dudubaya baada ya kuimba wimbo.wa "Mwanangu Huna Nidhamu" kaenda kumkata mama yake sikio kwa tuhuma.za uchawi na kukimbia.

Hahhhhhahhhhhahha Dudu ni balaaaaa yulee angekuwemo jamii nahis angewasaka kina Mods kuwapa kichapooo
 
Huyo Hemed ni mwanaume mwenye dharau sana, siku moja anahojiwa radio clouds kaulizwa ni "jambo lipi baya ulilowahi fanya ukiwa shule" eti kwa dharau akajibu nimewahi mtemea mate usoni msichana mbaya, akimaanisha mbaya wa sura. Akaongeza nilikuwa siwapendi wasichana wabaya. Du, alinichefua siku hiyo, sikuwahi kumpenda toka siku hiyo till now.
 


Kwani Hemedi Mwanaume ?
Si punga tu yule !
 
@appo hatupo jukwaa la wakubwaa bana tumi Tafsidaa
 
Huyo hemed kugombana na judge ian hata simlaumu nuksi sana yule

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…