Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unamaanisha"WANADANGA?"Ni kwa sababu usanii Tanzania haulipi, ungelipa usingewaona kina Wema na machangu wengine wa bongo movie wanajidhalilisha mitandaoni kutafuta mabwana wa kuwaweka mjini. Siku hizi mpaka wamefikia kurogana wenyewe kwa wenyewe ili wapate mabwana.
Asenga kawa Abubakar tena,kaasi kanisa lililomleta mjini kurekodi kwayaCc: Hamza King Majuto , Stevie Nyerere , Abubakar Asenga.
Jamaa alikuwa mkristo?A
Asenga kawa Abubakar tena,kaasi kanisa lililomleta mjini kurekodi kwaya
Bima ya afya na mifuko ya hifadhi ndio itawaokoa.Ponda mali kufa kwaja
Na hili ndio tatizo, hawakumbuki kesho. Wakipata hela wanatumia zote bila ku serve, wakiugua wanaanza kuomba michango. Ni aibu sana kwa mkongwe kama Majuto kukosa hata bima kubwa ya afya ambayo ingemsaidia kupata matibabu hadi nje ya nchi. Nilishangaa zaidi kwa yule Mbunge mstaafu aliyemuomba Mh. Rais hela ya matibabu.Bima ya afya na mifuko ya hifadhi ndio itawaokoa.
Sasa hivi wa Wasanii wanatengeneza mamilioni na sijui kama wanakumbuka ku serve.
Ndio Asenga kwao ni Tukuyu ,kama sikosei Mwakaleli,kwa mara ya kwanza kuja Dar alikuja na kikundi cha kwaya ya kanisa kuja kurekodi nyimbo ,wenzake waliporudi yeye akabaki Dar,utadhani wale wanariadha wanaoenda mashindanoni ughaibuni wakifika huka huingia mitini na kujilipua,yeye Asenga alijipua jijini Dar Es Salaam ,mengina sasa ni historia.Jamaa alikuwa mkristo?
Sasa kaka uwe na warembo sampuli za akina Mabeto,marehemu Masogange,Aunt Ezekiel,Wema,Zari kweli utaweza kutoishiwa?Na hili ndio tatizo, hawakumbuki kesho. Wakipata hela wanatumia zote bila ku serve, wakiugua wanaanza kuomba michango. Ni aibu sana kwa mkongwe kama Majuto kukosa hata bima kubwa ya afya ambayo ingemsaidia kupata matibabu hadi nje ya nchi. Nilishangaa zaidi kwa yule Mbunge mstaafu aliyemuomba Mh. Rais hela ya matibabu.
Hahaha inahitaji uwe na roho ngumu sana, lakini inawezekana kaka.Sasa kaka uwe na warembo sampuli za akina Mabeto,marehemu Masogange,Aunt Ezekiel,Wema,Zari kweli utaweza kutoishiwa?
Tatizo ccm wanawakatisha viuno tu malipo ni bia na kulala nao magestihabari wadau,
Leo nikisikiliza taarifa ya habari channel msemaji wa familia ya mchekeshaji maarufu king majuto aliomba wadau wasaidie kugharamia safari ya mzee kwenda kutibiwa india sina shida kuhusu kusaidiana tatizo ni kwanini hawa wasanii wetu richa ya kufanya kazi kubwa ya sanaa kuigiza matangazo na kuishi maisha tunayoona ni ya juu ila wakipata tatizo serious kidogo tu wanaanza kutembeza bakuri.
Na nini litakuwa suluhisho la muda mrefu kwa hawa wasanii wetu waweze kujimudu hata kwa kujiunga na bima za 1m tu kwa mwaka.
All the best king majuto.
Mbona anajipambanua kwamba amekulia morogoro kilombero baba yake ni fundi "Cherehani" -(Tailor)Ndio Asenga kwao ni Tukuyu ,kama sikosei Mwakaleli,kwa mara ya kwanza kuja Dar alikuja na kikundi cha kwaya ya kanisa kuja kurekodi nyimbo ,wenzake waliporudi yeye akabaki Dar,utadhani wale wanariadha wanaoenda mashindanoni ughaibuni wakifika huka huingia mitini na kujilipua,yeye Asenga alijipua jijini Dar Es Salaam ,mengina sasa ni historia.