Wasanii kushindwa kujigharamia matibabu nini tatizo?

Wasanii kushindwa kujigharamia matibabu nini tatizo?

Wanaleta usanii kwenye maisha halisi
 
Ni kwa sababu usanii Tanzania haulipi, ungelipa usingewaona kina Wema na machangu wengine wa bongo movie wanajidhalilisha mitandaoni kutafuta mabwana wa kuwaweka mjini. Siku hizi mpaka wamefikia kurogana wenyewe kwa wenyewe ili wapate mabwana.
Mkuu unamaanisha"WANADANGA?"
 
Bima ya afya na mifuko ya hifadhi ndio itawaokoa.

Sasa hivi wa Wasanii wanatengeneza mamilioni na sijui kama wanakumbuka ku serve.
Na hili ndio tatizo, hawakumbuki kesho. Wakipata hela wanatumia zote bila ku serve, wakiugua wanaanza kuomba michango. Ni aibu sana kwa mkongwe kama Majuto kukosa hata bima kubwa ya afya ambayo ingemsaidia kupata matibabu hadi nje ya nchi. Nilishangaa zaidi kwa yule Mbunge mstaafu aliyemuomba Mh. Rais hela ya matibabu.
 
Jamaa alikuwa mkristo?
Ndio Asenga kwao ni Tukuyu ,kama sikosei Mwakaleli,kwa mara ya kwanza kuja Dar alikuja na kikundi cha kwaya ya kanisa kuja kurekodi nyimbo ,wenzake waliporudi yeye akabaki Dar,utadhani wale wanariadha wanaoenda mashindanoni ughaibuni wakifika huka huingia mitini na kujilipua,yeye Asenga alijipua jijini Dar Es Salaam ,mengina sasa ni historia.
 
Sasa kaka uwe na warembo sampuli za akina Mabeto,marehemu Masogange,Aunt Ezekiel,Wema,Zari kweli utaweza kutoishiwa?
 
Tatizo la wabongo tukipata ni kuponda Raha tu hatufikilii matatizo yanayoweza tokea mbele, manage your money
Kitunguu kimoja kuungia mboga kinatosha kabixa na nyanya mbili,miguu yakuku unakatata vipande vidogo vidogo afu unaweka mchuzi mwingi, mademu wambie mie account yangu kutoa hela mpaka niende nje ya nchi make ni pound account
 
Sasa kaka uwe na warembo sampuli za akina Mabeto,marehemu Masogange,Aunt Ezekiel,Wema,Zari kweli utaweza kutoishiwa?
Hahaha inahitaji uwe na roho ngumu sana, lakini inawezekana kaka.
 
Wanapenda anasa sana na hawaweki akiba. Pia hawaoni aibu kuombaomba. Hata hivyo vyama vyao vya wasanii kubwa wanalofanya ni kutongozana na kula michango na kuratibu mazishi
 
Ni mfumo mbovu na misingi hafifu wa wasanii wa Tanzania,

ila wengi kwa sasa wameshtuka na kuanza kuwekeza.
 
habari wadau,

Leo nikisikiliza taarifa ya habari channel msemaji wa familia ya mchekeshaji maarufu king majuto aliomba wadau wasaidie kugharamia safari ya mzee kwenda kutibiwa india sina shida kuhusu kusaidiana tatizo ni kwanini hawa wasanii wetu richa ya kufanya kazi kubwa ya sanaa kuigiza matangazo na kuishi maisha tunayoona ni ya juu ila wakipata tatizo serious kidogo tu wanaanza kutembeza bakuri.
Na nini litakuwa suluhisho la muda mrefu kwa hawa wasanii wetu waweze kujimudu hata kwa kujiunga na bima za 1m tu kwa mwaka.

All the best king majuto.
Tatizo ccm wanawakatisha viuno tu malipo ni bia na kulala nao magesti
 
Ndio Asenga kwao ni Tukuyu ,kama sikosei Mwakaleli,kwa mara ya kwanza kuja Dar alikuja na kikundi cha kwaya ya kanisa kuja kurekodi nyimbo ,wenzake waliporudi yeye akabaki Dar,utadhani wale wanariadha wanaoenda mashindanoni ughaibuni wakifika huka huingia mitini na kujilipua,yeye Asenga alijipua jijini Dar Es Salaam ,mengina sasa ni historia.
Mbona anajipambanua kwamba amekulia morogoro kilombero baba yake ni fundi "Cherehani" -(Tailor)
 
Kwasababu hawana kitu. Bongo usanii ni kama kucheza mchezo wa karata tu huna unachokipata.

Wingi unaowaona wapo vizuri ni Unga na Umalaya tu.
 
Je na sis rai wa kawaida ni wangapi ambao tumejitahidi hata angalau kuwekeza katika maisha yetu? Maana isije tukawa tunajidai kuwananga wasanii wakati sis wenyewe kumbe ndo walewale, BIMA ya afya tu tukiambizana kukata inakuwa vita
 
Back
Top Bottom