Wasanii kwenye nyimbo za maombolezo mmebugi sanaaa

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi

Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president"
Hivi kama sio bange ni nini?
 
Mkuu achana na hao wavuta BANGI alaf vichwa panzi bangi inataka wenye jiwe ,chukua mda wako sikiliza ulale salama utojuta kupoteza mda wako
 
Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi

Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president"
Hivi kama sio bange ni nini?
"wa kwanza ni mwenzetu Nwalimu Nyerereee alipata shahada kule Makereree lakini hakupenda kula matembelee Nyerereeee🎶🎶🎶 R.I.P Capt. Komba
 
Huyu Country Boy anaponzwa na Imani, kuwa kuimba kwa lugha ya Kigeni pengine kunampaisha. Kawaharibia nyimbo Konde Gang...
Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi

Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president"
Hivi kama sio bange ni nini?
 
Wasanii wa bongolevya ingieni studio mpige cover za nyimbo hizi, kamanda by feruz, swahiba by afandesele, tutakumbuka daima by gk, tuonane baadae by Joe, hizo kelele mnazopiga kwenye nyimbo zenu hatuzielewi zinatuumiza masikio tu!!
 
Back
Top Bottom