Wasanii kwenye nyimbo za maombolezo mmebugi sanaaa

Wasanii kwenye nyimbo za maombolezo mmebugi sanaaa

Halafu sauti zao zimechujwa sana , mtu anaimba kama roboti...Tatizo wasanii wenyewe wamezoea kuimba maada moja tu, ukiwaleta uwanja mpya hamna cha maana wanachoweza kufanya. Bora tuendelee kusikiliza na kupiga za zamani !

 
Wasanii wa bongo ni takataka kabisa labda yule jamaa mwenye tumbo kubwa ndio kaimba cha maana.
 
Halafu cha kushangaza alikuwa anaimba kama anadundika kimtindindo.
 
Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi

Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president"
Hivi kama sio bange ni nini?
Hata flow utadhani anamuimbia demu wake. Nikisikiliza hiyo nyimbo nahisi kichefuchefu. Pia kuna ilr ya bushoke na q chief haifai kuimbiwa msiba.
 
Back
Top Bottom