Gondwe
JF-Expert Member
- May 30, 2014
- 235
- 170
Pole sana mkuu ila nakushauri upambane tu na hali yako mapema, maana kikatiba bado yupo sana hadi 2020, pia nasikia tetesi eti watz wanataka aendelee tu siku zote. Jiandae kisaikolojia mkuu.Kwani kichwa cha habari mleta Uzi kasemaje? Hayo ya raisi wako mtukufu na kizazi chako baki nayo ww na kizazi chako.tujadili hao wasanii wanajikomba au la maana kichwa cha habari hakizungumzii utukufu wa yeyote awae
Sent using Jamii Forums mobile app