Wasanii mbalimbali wapata shavu kumsupport Magufuli akizindua mradi wa bomba la mafuta Tanga

Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mkapa hakusea kauli ya malofa na wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shilole lazima apewe shavu, si alikuwa jukwaa moja juzi na chura churani kipenzi cha mkuu
 
Mukuli ndio amewasupport wasanii kwa kuwalipa ili wakamsaidie kujaza nyomi.

Bila wasanii nyomi haijai

Lexus Mayai
 
Wangeacha kama wangelikuwa na uwezo ila kwa kuwa hawana wanabaki kama mazwazwa
wewe ndo zwazwa tofautisha mambo ya mtu binafsi na serikali,clouds haina ugomvi na serikali ina ugomvi na makonda.....
 
Hongera zao kwa kula shavu.
317560ce07922b3c554d4e76a3e1b188.jpg

-Ndumilakuwili-
Wasanii wa bongo wote weupe.
 
Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tanga hakuna watu mpaka waende wao? Kama wana nia ya kweli kumpa sapoti kwann wasingebadili matumizi ya hyo gharama waliyoitumia eg kupeleka kwa watoto yatima au chochote kile bila kwenda huko Tanga. Well wameshafika Tanga, nn watakifanya pale john na m7 wanapokata utepe? Au kuona tu? Walikuwa wapi wakati daraja la umoja mtambaswala mtwara linazinduliwa? Au sio muhimu? Walienda na Jahkaya kuzindua daraja la malagarasi? Mbona ujenzi wa barabara ya itigi-tabora hawakuja kutoa sapoti au sio muhimu kama hili bomba? Anyway tuna bomba jingine la gas kutoka msimbati mpaka kinyerezi mbona hatukuwaona? Ujenzi wa DART unavyozinduliwa sikuwaona pia na walikuwepo wote hao akina mzee chilo n.k!! ww wa wapi? Njaa mbaya sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuwa wanalalamika sana kuwa baada ya 'kuiweka madarakani' serikali ya awamu ya tano imewatelekeza.
Sasa ili kuondoa nongwa naona Magogoni imeamua kulipa fadhila. Sasa wanawatumia kwenye shughuli zao na angalau wasanii wanapata pesa ya sabuni na wengine ya kunywea bia. Maisha kupigana tafu... Au siyo?
Serikali ya Awamu ya Tano Imewekwa Madarakani na Wasanii ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tanga hakuna watu mpaka waende wao? Kama wana nia ya kweli kumpa sapoti kwann wasingebadili matumizi ya hyo gharama waliyoitumia eg kupeleka kwa watoto yatima au chochote kile bila kwenda huko Tanga. Well wameshafika Tanga, nn watakifanya pale john na m7 wanapokata utepe? Au kuona tu? Walikuwa wapi wakati daraja la umoja mtambaswala mtwara linazinduliwa? Au sio muhimu? Walienda na Jahkaya kuzindua daraja la malagarasi? Mbona ujenzi wa barabara ya itigi-tabora hawakuja kutoa sapoti au sio muhimu kama hili bomba? Anyway tuna bomba jingine la gas kutoka msimbati mpaka kinyerezi mbona hatukuwaona? Ujenzi wa DART unavyozinduliwa sikuwaona pia na walikuwepo wote hao akina mzee chilo n.k!! ww wa wapi? Njaa mbaya sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili fupi kama koroboi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom