onechromosome
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 1,243
- 780
Sawa Lumumba buku saba japo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Lumumba buku saba japo
Why do you have that negativity? Kwani nani amesema kuwa sio watanzania? nawafahamisha wana tanga waje kuwaona wasaniiKwani shida nini wao sio watanzania
Mkuu Mkapa hakusea kauli ya malofa na wapumbavu.Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyo ndo mwalimu anathubutu kuandika kama hivyo tena anamuandikia mtu asiyekuwa na msaada wowote kwake,hakika nakuwa na mashaka na taaluma yake...!!
wewe ndo zwazwa tofautisha mambo ya mtu binafsi na serikali,clouds haina ugomvi na serikali ina ugomvi na makonda.....Wangeacha kama wangelikuwa na uwezo ila kwa kuwa hawana wanabaki kama mazwazwa
Wasanii wa bongo wote weupe.Hongera zao kwa kula shavu.![]()
-Ndumilakuwili-
Kwani tanga hakuna watu mpaka waende wao? Kama wana nia ya kweli kumpa sapoti kwann wasingebadili matumizi ya hyo gharama waliyoitumia eg kupeleka kwa watoto yatima au chochote kile bila kwenda huko Tanga. Well wameshafika Tanga, nn watakifanya pale john na m7 wanapokata utepe? Au kuona tu? Walikuwa wapi wakati daraja la umoja mtambaswala mtwara linazinduliwa? Au sio muhimu? Walienda na Jahkaya kuzindua daraja la malagarasi? Mbona ujenzi wa barabara ya itigi-tabora hawakuja kutoa sapoti au sio muhimu kama hili bomba? Anyway tuna bomba jingine la gas kutoka msimbati mpaka kinyerezi mbona hatukuwaona? Ujenzi wa DART unavyozinduliwa sikuwaona pia na walikuwepo wote hao akina mzee chilo n.k!! ww wa wapi? Njaa mbaya sana aiseeUnamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Awamu ya Tano Imewekwa Madarakani na Wasanii ?Walikuwa wanalalamika sana kuwa baada ya 'kuiweka madarakani' serikali ya awamu ya tano imewatelekeza.
Sasa ili kuondoa nongwa naona Magogoni imeamua kulipa fadhila. Sasa wanawatumia kwenye shughuli zao na angalau wasanii wanapata pesa ya sabuni na wengine ya kunywea bia. Maisha kupigana tafu... Au siyo?
Una akili fupi kama koroboiKwani tanga hakuna watu mpaka waende wao? Kama wana nia ya kweli kumpa sapoti kwann wasingebadili matumizi ya hyo gharama waliyoitumia eg kupeleka kwa watoto yatima au chochote kile bila kwenda huko Tanga. Well wameshafika Tanga, nn watakifanya pale john na m7 wanapokata utepe? Au kuona tu? Walikuwa wapi wakati daraja la umoja mtambaswala mtwara linazinduliwa? Au sio muhimu? Walienda na Jahkaya kuzindua daraja la malagarasi? Mbona ujenzi wa barabara ya itigi-tabora hawakuja kutoa sapoti au sio muhimu kama hili bomba? Anyway tuna bomba jingine la gas kutoka msimbati mpaka kinyerezi mbona hatukuwaona? Ujenzi wa DART unavyozinduliwa sikuwaona pia na walikuwepo wote hao akina mzee chilo n.k!! ww wa wapi? Njaa mbaya sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi zwazwawewe ndo zwazwa tofautisha mambo ya mtu binafsi na serikali,clouds haina ugomvi na serikali ina ugomvi na makonda.....
Sasa cha ajabu hadi wasanii wa Bongo movie nao wameingia kwenye kuimba ili watafune pesa ya Magogoni!