Pole sana mkuu ila nakushauri upambane tu na hali yako mapema, maana kikatiba bado yupo sana hadi 2020, pia nasikia tetesi eti watz wanataka aendelee tu siku zote. Jiandae kisaikolojia mkuu.Kwani kichwa cha habari mleta Uzi kasemaje? Hayo ya raisi wako mtukufu na kizazi chako baki nayo ww na kizazi chako.tujadili hao wasanii wanajikomba au la maana kichwa cha habari hakizungumzii utukufu wa yeyote awae
Umeelewa mada au ndo team Lumumba buku saba kazini? Pole unanipa ya nini na unaniambia nijiandae ili iweje huwezi kujadili mada kwanini unaleta yasiyohusika na mada sio 2020? Wasanii wanajikomba au laa?Pole sana mkuu ila nakushauri upambane tu na hali yako mapema, maana kikatiba bado yupo sana hadi 2020, pia nasikia tetesi eti watz wanataka aendelee tu siku zote. Jiandae kisaikolojia mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu punguza jazba, huu mchezo hauhitaji hasiraUmeelewa mada au ndo team Lumumba buku saba kazini? Pole unanipa ya nini na unaniambia nijiandae ili iweje huwezi kujadili mada kwanini unaleta yasiyohusika na mada sio 2020? Wasanii wanajikomba au laa?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] WAKINA NANI HAOOOOOOO.Kwani kichwa cha habari mleta Uzi kasemaje? Hayo ya raisi wako mtukufu na kizazi chako baki nayo ww na kizazi chako.tujadili hao wasanii wanajikomba au la maana kichwa cha habari hakizungumzii utukufu wa yeyote awae
You are just a simple shit! Yaani unamaanisha watu wanaishi kwa hisani ya binadamu? Hivi hizo akili makinikia huwa mnagawiwa wapi? Eti mtu ahame nchi! You Gondwe! Is that thing you call a head of yours' alright? Hello, please! Ndiyo vitu mlivyobakiwa navyo vichwani?Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Did you call this bullshit big matters? Paying artist to support magufuli doings is what you call big matters .kweli vichwa vya buku saba vimeangamia mimi sioni maendeleo tanga NAONA DIKTETA MAGUFULI NA DIKTETA MUSEVENI shaking hands period.Nadhani upambane na hali yako tu my lady, these are big matters. Inaonyesha hujapevuka enough to understand much.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ndiyo maana huua vikongwe kwa imani za kichawi. These people are heathens! Akili za kimasikini zikitawala kichwani ni hasara kwa taifa. Soma jina lake utamjua tu. Don't trust these fula pygmies at all! Never ever!Did you call this bullshit big matters? Paying artist to support magufuli doings is what you call big matters .kweli vichwa vya buku saba vimeangamia mimi sioni maendeleo tanga NAONA DIKTETA MAGUFULI NA DIKTETA MUSEVENI shaking hands period.
[emoji106]Unamaanisha kumpa support kiongozi wao wa nchi akifanya jambo la maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote akiwemo mimi na wewe ndo kujikomba huko kwa definition yako? Hebu tuache akili za kushikiwa tutumie bongo zetu sio kufikiriwa na kuishi kwa mihemko ya kupinga kila kitu. Hebu hama nchi ndo tutakuona mjanja sio unapinga tu huku umekomaa unaishi kwenye utawala wa unayempinga ukila na kunywa kwa hisani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Nadhani upambane na hali yako tu my lady, these are big matters. Inaonyesha hujapevuka enough to understand much.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waacheni waendelee kum support mkuu mjenga nchi.hujui kama kuna nyimbo wametunga kwa pamoja na video soon itatoka
Clouds wameona wameharibu, wanajaribu kulazimisha kurejesha mahusiiano na serikali.Unafiki tu umewajaa Na kijikampeni chao mara MIAMOYO mara ISHI NA MIMI, Stupidhujui kama kuna nyimbo wametunga kwa pamoja na video soon itatoka
jambo la makonda libaki na makonda na sio kuitia dosari serikali nzima....kwani uliona walivokosana na makonda waliacha kutangaza habari nyingine za serikali??Clouds wameona wameharibu, wanajaribu kulazimisha kurejesha mahusiiano na serikali.Unafiki tu umewajaa
Wangeacha kama wangelikuwa na uwezo ila kwa kuwa hawana wanabaki kama mazwazwajambo la makonda libaki na makonda na sio kuitia dosari serikali nzima....kwani uliona walivokosana na makonda waliacha kutangaza habari nyingine za serikali??