kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Sikatai mkuu ila wanaoweza ku go beyond limit ni wachache sana...Mkuu Kama talent ipo na mashairi mazuri yapo sioni sababu ya kusema Haina maana Tena.
Mwanamuziki kama Adele yeye anatoa hits na album juu anakaa kimya muda mrefu na anarudi kukiwasha upya na kuwafunika waliopo kwenye gemu muda wote.
Sasahivi Adele yupo kimya utarudi na album utaona atakachokifanya Ni vunja vunja record zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Weng huwa wanaenda na mda,na ndo maana ni wachache wanojitahd push kaz zao had leo hii..
Angalia tu bongo hapa,ni wasanaii wangapi wa enzi zile za kina prof jay ,wanaotoa kaz had leo?
So nakubaliana naww ruge kama alibana enz zake basi wabish wakaze saiz mana skuiz promo sio deal kweny radio tena.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk