Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

Mkuu kukuwa namaanisha kupata washabiki wapya mfano mwaka jana diamond kafanya matamasha maeneo Yale Yale ya miaka yote
Tanzania
Kenya
Rwanda
Mayyote
Oman
Dubai
London
ilitakiwa kwa Sasa kuonyesha mziki umekuwa anafanya maeneo mapya Kama Ivory coast, Senegal,Togo, South Africa, na kwengine
Mfano mzuri Ni wakina Davido na Wizkid sasahivi wanafanya matamasha hadi Bahamas, Jamaica, tridand and tobeco, Maleysia.

Point yangu ilikuwa hiyo wakina Diamond , Vanessa mdee, Alikiba wanatakiwa kufanya show maeneo mapya Kama kweli mziki wetu unaendelea kukuwa na haujastack

Sio kila siku ukitoa mziki tranding Ni Kenya , Tanzania na Uganda

Sent using Jamii Forums mobile app

Daimond ni msanii pekee tanzania ambae ameshafanya matamasha sehemu ambazo wengi hawajafika including huko unakosea. Ila tukirud kwenye topic yetu i dnt think hilo ni tatizo linalohusiana na clouds hiyo ni msanii mwenyewe na mgt yake
 
Tatizo lako Dogo uanamchukia Daimond kafanya show Mozambique,Madagascar ,Malawi,Zambia,Zimbabwe,Namibia,DRC,US,Sweeden,Denmark,Uganda nk nchi nchi hizi za Kusini mwa jangwa la Sahara Diamond kabakisha inchi moja tu ambayo hakupiga show nayo ni Angola.

Wala simchukii diamond labda useme nam overrate maana kwasasa Bongo ndo msanii mkubwa tulienae na mimi huwa namuona Diamond level ya kina Davido na Wizkid Sasa nikiona Wizkid na Davido wanafanya wanajumuishwa kwenye matamasha makubwa Kama Wireless au global citizen alafu simuoni Diamond naona kabisa Kuna sehemu amestack.
Wewe angalia hata poster za kina Davido sasahivi wanapanda majukwaa na kina Drake, future, french Montana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo industry huwa tunaiua wenyewe watanzania kwa ujuaji tuu, kama bongo movie ilivyo fubaa miaka kadhaa apo nyuma tangu marehemu kanumba kutoka, saivi kidogo inaanza kuamka tena.

Raha ya mziki ushindani tuu sio majungu na kubaniana maana tutaishia kusikiliza nyimbo za watu watatu kama vile mtu na mke wake miaka nenda rudi upo nae tuuu.

Kazeni saivi wote tupate mziki, kiba kaza, mondi kaza, THT kazeni atakae zubaaa anasepa kwenye gemu maana promoter kasepa

ghost rider
 
Tatizo lako Dogo uanamchukia Daimond kafanya show Mozambique,Madagascar ,Malawi,Zambia,Zimbabwe,Namibia,DRC,US,Sweeden,Denmark,Uganda nk nchi nchi hizi za Kusini mwa jangwa la Sahara Diamond kabakisha inchi moja tu ambayo hakupiga show nayo ni Angola.

Hiki ndo nachojaribu kukueleza angalia hao wasanii watakaopanda jukwaani na kina Davido na Wizkid

2015--2017 Diamond alikuwa anajaza Venue sawa na kina Davido na Wizkid hii 2019 angalia wenzake majukwaa wanaopanda
Mimi binafsi nilikuwa namuona Diamond huku akila sahani moja na Hawa jamaa
Mambo ya kina namba 1 song tranding awaachie kina Rayvany na Mbosso

[emoji23][emoji23]Sasa wewe unasema namchukia
Screenshot_20190314-120707~2.jpeg
Screenshot_20190314-120721~2.jpeg
Screenshot_20190314-120739~2.jpeg
Screenshot_20190314-120757~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala simchukii diamond labda useme nam overrate maana kwasasa Bongo ndo msanii mkubwa tulienae na mimi huwa namuona Diamond level ya kina Davido na Wizkid Sasa nikiona Wizkid na Davido wanafanya wanajumuishwa kwenye matamasha makubwa Kama Wireless au global citizen alafu simuoni Diamond naona kabisa Kuna sehemu amestack.
Wewe angalia hata poster za kina Davido sasahivi wanapanda majukwaa na kina Drake, future, french Montana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Humuoni mimi na wewe tushabishana kwenye thread nyingi sana kuhusu Diamond,huwezi fananisha Nigerian Music na Tanzania Music kwanza wa Nigeria nchi yao wapo 200mil na duniani ni moja ya nchi zilikuwa na raia waliotapakaa Ulaya,pili lugha inawabeba sana na ndio maana wao wanafanya vizuri sana tena sana,sisi swahili hii bado inatupa tabu kupenya.

Alafu wenzetu wanapendana na kusupportiana hawana beef za kijinga kama zetu za kubaniana na ndio maana kila siku kuna watu wapya,leo hii Burna Boy na Tiwa kuna show kubwa wanaifanya na ndio maana mziki wao unakuwa kila siku ,Patoranking analikwa kwenye show kibao za nchi za Caribean,huku kwetu mmoja akiwa mkubwa tu kama hatokubaliana na matakwa yenu mnataka kumshusha.

Sisi huyu Dogo tunampiga vita sana,tena sana lakini Mungu yupo naye,kaisimamisha WCB ile pale ,leo hii RayVany ana show kubwa kabisa Essence Festival na wasanii wakubwa yote sababu ya Diamond lakini wewe hukuliona,Ukimtizama Harmonize ni msanii mkubwa sana lakini wewe hukuliona,ukiangalia Wasafi Festival ndani ya muda mfupi tu umeshakuwa kubwa mpaka nje ya mipaka ya nchi lakini wewe bado huliona,ila kwa sababu hajafanya show katika majukwa ya kama ya akina Davido na Wizkid ndio umeliona

rrrrrr.PNG

.

Manako umeongea uongo wakati umezitaja nchi alizoperform,alafu nikwambia katika maisha huwezi kuwa juu siku zote ,Davido yule pale miaka miwili alistack kabisa,baadaye karudi si yule pale karudi.Manake sometimes unaongea mpaka uongo kuprove dogo hafai bahati nzuri dunia sasa hivi ni ya utandawazi kila kitu kipo na hizo show.

Mimi nakuhakikishia Daimond atazifanya sana ni swala la muda,Daimond ni mtu moja anayependa kujifunza kupia kwa wenzio ,Diamond kajifunza kupitia kwa AY na kujiweka karibu leo yule pale, Wizkid na Davido wote washkaji zake na anajifunza kupitia kwao nina uhakina naye atapanda katika hayo majukwa ni swala la muda tuombe uhai..
 
Humuoni mimi na wewe tushabishana kwenye thread nyingi sana kuhusu Diamond,huwezi fananisha Nigerian Music na Tanzania Music kwanza wa Nigeria nchi yao wapo 200mil na duniani ni moja ya nchi zilikuwa na raia waliotapakaa Ulaya,pili lugha inawabeba sana na ndio maana wao wanafanya vizuri sana tena sana,sisi swahili hii bado inatupa tabu kupenya.

Alafu wenzetu wanapendana na kusupportiana hawana beef za kijinga kama zetu za kubaniana na ndio maana kila siku kuna watu wapya,leo hii Burna Boy na Tiwa kuna show kubwa wanaifanya na ndio maana mziki wao unakuwa kila siku ,Patoranking analikwa kwenye show kibao za nchi za Caribean,huku kwetu mmoja akiwa mkubwa tu kama hatokubaliana na matakwa yenu mnataka kumshusha.

Sisi huyu Dogo tunampiga vita sana,tena sana lakini Mungu yupo naye,kaisimamisha WCB ile pale ,leo hii RayVany ana show kubwa kabisa Essence Festival na wasanii wakubwa yote sababu ya Diamond lakini wewe hukuliona,Ukimtizama Harmonize ni msanii mkubwa sana lakini wewe hukuliona,ukiangalia Wasafi Festival ndani ya muda mfupi tu umeshakuwa kubwa mpaka nje ya mipaka ya nchi lakini wewe bado huliona,ila kwa sababu hajafanya show katika majukwa ya kama ya akina Davido na Wizkid ndio umeliona

View attachment 1045410

.

Manako umeongea uongo wakati umezitaja nchi alizoperform,alafu nikwambia katika maisha huwezi kuwa juu siku zote ,Davido yule pale miaka miwili alistack kabisa,baadaye karudi si yule pale karudi.Manake sometimes unaongea mpaka uongo kuprove dogo hafai bahati nzuri dunia sasa hivi ni ya utandawazi kila kitu kipo.
Mkuu tatizo lako unachukua vitu personal turudi kwa maelezo yako
Wewe unaonaje Miziki wa Bongo fleva leave Sasa unakuwa kwa kasi au umestack

Chukua reference ya Diamond, Alikiba, Vanessa mdee , harmonize na Navy kenzo

Mimi binafsi naona umestack tofauti na Kasi ya mwaka 2015--2017

Mziki wa Bongo unakuwa kwa WCB tu huku kwengine naona unadorola,hivi leo watizame Harmonize na Rayvanny ,wengine kabisa.Harmonize kashirikishwa na Mafikizolo,Jah Preyah,Eddy Kenzo,Krizbeatz wasanii kibao,haya manake wewe kipimo cha mziki kukua wasanii kupanda majukwaa makubwa na wasanii wa US ,RayVanny na Vannesa wale pale wanapanda katika jukwaa na wasanii wakubwa US ktk tamasha la Essence Festival,leo Maromboso ana colabo kashirikishwa na msanii Chikune kutoka Namibia,hivi huoni au wewe umekalili msanii mpaka afanye show kwenye majukwa makubwa ndio mziki unaona mziki umekua,ukuaji wa kitu chochote una stage zake

Sisi TZ mziki wetu hautakuwa na Rapid growth sababu wasanii hawapendani ,hawashirikiani sababu ili tasnia yoyote ikue lazima wasanii wapendane washirikiane,sisi kwetu hakuna matokeo yake, anayejua anabaki kujua na asiyejua ataendelea kutokujua njia za mafaniko ,lakini ukiitizama WCB ya leo na ya kesho unaona kabisa wamepiga hatua,sababu ya Diamond hajasoma lakini ana exposure kubwa sana ya maswala ya Music katika level za kimataifa na ndio maana anawapa na kuwasaidia wasanii wake wa WCB.Lakini leo hii msanii akishirikia na Diamond au WCB mziki wako haupigwi Redioni,unategemea mziki utakuwa.

Chuki,visasi,wivu ,roho mbaya ndizo zinaendesha industry ya bongo fleva ,usitegemea mziki kukua kwa kasi.Nigeria ipo pale sababu wasanii wakubwa wanapendana, wanashirikana wao kwa wao na wanawabeba wasanii wa wadogo ndio maana leo kuna Tiwa,Burna boy,Olamide,patoranking,Phyno ,sisi wasanii wakubwa tunao wachache hao hao tunawagawa na kuwafanya wasipendane na kuchukiana.
 
My point exactly
 
Tumeacha mziki,now tunaendesha ndege
Kuna baadhi ya wasanii walitamka waziwazi na wengine kwa kificho kwamba aliekuwa mkuu wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba alikuwa kikwazo wao kushine na kupiga hatua maarufu Kama kuwabania.
Kwa mipango ya Mungu Ruge hatunae Tena Sasa wale walikuwa wanasema jamaa ndo kikwazo Ni muda muafaka wa kithibitisha kauli zenu kwa matendo
--Tuone mkitoa nyimbo kali
--Mkifanya matamasha makubwa Tanzania
--Mkifanya matamasha makubwa nje ya Tanzania
--Mkipata ubalozi wa makampuni mbalimbali
--Mkishinda tuzo mbali mbali za kimataifa

Mziki wa Bongo fleva kwa Sasa Kama umestack flani hivi tofauti na miaka ya 2015 hadi 2017 ambapo ulikuwa unakuwa kwa kasi na ushindani mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin muda nao una matter,watu tunatofautian tunavyo handle matatizo yetu.

Hivi unakipaji ,unatoa ngoma kali ila kuna watu wanakukazia,hii imepelekea hata baadh ya wasanii kua stressed ,sasa ukishakua na stress kuna kipaj tena hapo?

Wengi tu wameishia kufanya mambo nje ya mzik,wengne wkawa walevi kupindukia,wengne wakaingia kweny madawa..unapo mbania msanii basi unamweka kweny mazingira hatarishi sana.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Basi katika 10 tufanye 6 walikuwa stressed na kupotea, kwa hiyo tutegemee tutapata wa4 wa kurudi na kutamba kwa kuwa Ruge ameondoka!!!

Acheni kufeli kusingizia watu. Watu wa namna hiyo ndo hata katika familia maisha yakikushinda unakimbilia kumlaumu blaza ako eti ooh aoikataa kunisaidia, n.k.

Endelea kufananisha game ya mzik na familia

Sasa ruge kafa lini? Unafkr mzik ni kuamka tu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Basi ndo muda wa Bongo Records kufufuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ikifufuka haisadii chochote walikushusha ukiwa asilimia 99% ilibaki moja kutimia 100.Walikushusha aslimia 97 umebaki na 3 kati ya 99% halafu kaondoka eti uanze tena kwenye asilimia 3 wenzako wapo kwenye asilimia 99 wamebakiza moja kutimia 100%.Ndo unachotaka wafanye Bongo Records watafeli.
 
Mhhhh mkuu Diamond Hana nguvu hiyo
Clouds wanaendelea kufanya fiesta kwa mafanikio Bila Diamond na timu yake ya WCB.

Diamond nguvu yake ya kupata kimataifa pia imepungua mwaka 2015 hadi 2017 alikuwa anashinda tuzo za kimataifa nyingi Sana hata matamasha makubwa mengi ya kimataifa alikuwa akifanya
Influence yake kimataifa ilikuwa inakaribia na kina Wizkid na Davido Leo 2019 Davido na Wizkid wamemuacha mbali Diamond

Pia ushindani wa Alikiba na Diamond ulikuwa unafanya bongo fleva kukuwa tofauti na sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Diamond kajiangusha yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom