mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,877
Mkuu kukuwa namaanisha kupata washabiki wapya mfano mwaka jana diamond kafanya matamasha maeneo Yale Yale ya miaka yote
Tanzania
Kenya
Rwanda
Mayyote
Oman
Dubai
London
ilitakiwa kwa Sasa kuonyesha mziki umekuwa anafanya maeneo mapya Kama Ivory coast, Senegal,Togo, South Africa, na kwengine
Mfano mzuri Ni wakina Davido na Wizkid sasahivi wanafanya matamasha hadi Bahamas, Jamaica, tridand and tobeco, Maleysia.
Point yangu ilikuwa hiyo wakina Diamond , Vanessa mdee, Alikiba wanatakiwa kufanya show maeneo mapya Kama kweli mziki wetu unaendelea kukuwa na haujastack
Sio kila siku ukitoa mziki tranding Ni Kenya , Tanzania na Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Daimond ni msanii pekee tanzania ambae ameshafanya matamasha sehemu ambazo wengi hawajafika including huko unakosea. Ila tukirud kwenye topic yetu i dnt think hilo ni tatizo linalohusiana na clouds hiyo ni msanii mwenyewe na mgt yake