Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

Mkuu Kama talent ipo na mashairi mazuri yapo sioni sababu ya kusema Haina maana Tena.

Mwanamuziki kama Adele yeye anatoa hits na album juu anakaa kimya muda mrefu na anarudi kukiwasha upya na kuwafunika waliopo kwenye gemu muda wote.

Sasahivi Adele yupo kimya utarudi na album utaona atakachokifanya Ni vunja vunja record zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai mkuu ila wanaoweza ku go beyond limit ni wachache sana...

Weng huwa wanaenda na mda,na ndo maana ni wachache wanojitahd push kaz zao had leo hii..

Angalia tu bongo hapa,ni wasanaii wangapi wa enzi zile za kina prof jay ,wanaotoa kaz had leo?

So nakubaliana naww ruge kama alibana enz zake basi wabish wakaze saiz mana skuiz promo sio deal kweny radio tena.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kwahiyo Earadio/eatv wanapiga nyimbo za wcb?
Kama hawapigi wanalalamikiwa kama ilivyo kwa clouds?

Clouds ni brand ya bongo fleva, wametengeneza jina kiasi kwamba kama wimbo wako haujapigwa Clouds ni sawa na haujakidhi viwango.

Ni sawa na sisi wanaume, kuna demu ukimtongoza akakutosa inakuuma sana, hasa yule ambaye ni mzuri sana machoni kwako. Wakati wale vimeo hata hujali, tena wengine wanakutaka wao ila unakuwa bado unalalamika kutoswa na yule mmoja.
 
Kukubali kuwa clouds ni baba lao kwenye mziki wa nchi hii umefanya vizuri.

Ila hata Earadio/eatv &efm/tve wamejibrand hivyo kama clouds,hawapigi nyimbo za baadhi ya wasanii mfano wcb (IPO wazi).

Mbona hawalalamikiwi?
 
Usichoelewa nini hapo we jamaa

Umesema eatv hawapig nyimbo za harmoniz..nika kwambia mbona kweny fnl tunamuona?

Ukaja tena mbona hawalaumiwi,nikakujibu walaumiwe kwa shutuma za uwongo?

Ukaja tena,kwaiyo eatv wanapga ngoma za wcb,nikakujibu sjui kuhus wcb,

By the way hata diamond na rayvan mwaka jana niliwaona fnl pia..

Sasa usichoelewa ww ni nin hapo? Tatizo unaipenda sana clouds mwanangu..[emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu tangu jun 2017 hakuna sura ya mtu wa wcb anaesikiki wala kuonekana Earadio/eatv. ipo wazi

Usilete uongo hapa.

Pia Efm/TvE wame ban nyimbo za wcb tokea mwishoni mwa 2018.

Swali langu ni kwamba umesikia wanapigiwa kelele?

Pls .Ukisoma maoni haya ukajiona unaudhaifu wa kufuatilia habari usiniquote tena
 
clouds walipiga fitina.. ali kiba apate tuzo 5 kwenye kili music award.. diamond hakupata hata 1... mwaka 2015... baada ya hapo diamond akasusa.. clouds wakaanza kufeli kila wanachofanya kwenye mziki hakina nguvu.. sabab diamond hataki kushiriki...
Clouds wamefeli kwenye ishu gani??

Mbona pia huzungumzii kustack kwa diamond??
 
Usichoelewa nini hapo we jamaa

Umesema eatv hawapig nyimbo za harmoniz..nika kwambia mbona kweny fnl tunamuona?

Ukaja tena mbona hawalaumiwi,nikakujibu walaumiwe kwa shutuma za uwongo?

Ukaja tena,kwaiyo eatv wanapga ngoma za wcb,nikakujibu sjui kuhus wcb,

By the way hata diamond na rayvan mwaka jana niliwaona fnl pia..

Sasa usichoelewa ww ni nin hapo? Tatizo unaipenda sana clouds mwanangu..[emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Lini ulimwona harmonize kwenye fnl recently??..isije ikawa unazungumzia 2015
 
Kukubali kuwa clouds ni baba lao kwenye mziki wa nchi hii umefanya vizuri.

Ila hata Earadio/eatv &efm/tve wamejibrand hivyo kama clouds,hawapigi nyimbo za baadhi ya wasanii mfano wcb (IPO wazi).

Mbona hawalalamikiwi?

Kuna kujibrand + kuwa branded.

Clouds wamejibrand, tumewakubali na tumewabrand.

EA Radio/TV, EFM/TV-E wamejibrand, bado hatujawapokea au kukubali kwamba wao ni brand ya namna hiyo.
 
Haina maana tena...ni sawa na ulinyang'anywa elimu yako ya msingi,saiz ushakua mkubwa unaambiwa haya rudi darasa la kwanza uendelee na elimu yako.

Muziki una muda wake,ukikosa fanya kitu tym ya muda wako basi wenye muda wao watakuja enjoy tym yao.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hivi ni kwa nini huwa mnaunga mkono mambo yasiyo na uhalisia?

Iwe ni Clouds ama awaye yote anahusikaje na kupandikiza kipaji cha Mtu, hivi Kizazi hiki mmeshaacha kumshukuru Mungu?

Walikuwepo kina Marijani Rajabu, Mbaraka Mwinshehe, walisikika nchi nzima na kwa kutumia redio moja tu, hakukuwa na Ruge wala Clouds.

Kuhusu Elimu huwa haina mwisho, na kama una kichwa chenye uwezo wala uhitaji darasa maalumu, jamii itakuona tu na uwezo wako.

Kipaji ni kama pembe, halifichiki...kizazi hiki waache visingizio.
 
huo ukuaji na ushindani umeuliwa na hao hao clouds kwa kutengeneza matabaka kwa wasanii na kubagua yani wamewafanya hadi wasanii wenyewe kwa wenyewe wasipendane

Sie Hapa JF hatupendani

Makanisani Na Misikitini hatupendani

Kwenye Siasa hatupendani

Ndugu hatupendani

Majirani hatuaminiani

Kote huko watu hawapendani sababu ya Ruge?
 
Mkuu tangu jun 2017 hakuna sura ya mtu wa wcb anaesikiki wala kuonekana Earadio/eatv. ipo wazi

Usilete uongo hapa.

Pia Efm/TvE wame ban nyimbo za wcb tokea mwishoni mwa 2018.

Swali langu ni kwamba umesikia wanapigiwa kelele?

Pls .Ukisoma maoni haya ukajiona unaudhaifu wa kufuatilia habari usiniquote tena
Nafurahi kuona upo busy kufuatilia ban za wcb

Sijui tareh husika ya ile fnl ambayo nilimuona harmoniz..lakin unavyosema eatv hawalaumiwi kisa kutopiga ngoma za wcb kama inavyolaumiwa clouds

Inabid ujue kwamba clouds lawama wanazopata ni zaid ya kutopiga ngoma za jamaa,,clouds ni wazee wa figisu,lawama kwao hazijatolewa na msanii mmoja tu au wcb peke yao.

Sasa umeskia msanii gani analia eatv wamemfanyia figisu? Kumbuka clouds wana connection hadi serikalini so wakiamua kufanya yao unaumia..

Fiesta yenyew kuna wasanii wanalia chinichini,,huitaj kua msanii ili kujua clouds kwanini inapewa lawama.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hivi ni kwa nini huwa mnaunga mkono mambo yasiyo na uhalisia?

Iwe ni Clouds ama awaye yote anahusikaje na kupandikiza kipaji cha Mtu, hivi Kizazi hiki mmeshaacha kumshukuru Mungu?

Walikuwepo kina Marijani Rajabu, Mbaraka Mwinshehe, walisikika nchi nzima na kwa kutumia redio moja tu, hakukuwa na Ruge wala Clouds.

Kuhusu Elimu huwa haina mwisho, na kama una kichwa chenye uwezo wala uhitaji darasa maalumu, jamii itakuona tu na uwezo wako.

Kipaji ni kama pembe, halifichiki...kizazi hiki waache visingizio.
Issue sio kipaji,hivi ni watu wangapi wana vipaji au walikua na vipaji lakin wakatokea watu tu wakaja kwamisha vipaji vyao?

Watu wana influence kubwa sana ili ww mwenye kipaji ufike unapotaka...pia watu hao hao wana uwezo mkubwa wa kuzima kipaji chako haraka kushinda hata Tanesco wanavyokata umeme

Hao wakina baraka hadi wamekua wakubwa ni kwa vile walipata support hata kama radio ni moja..lakin pia pengne hapo RTD hapakua na watu waziba vipaji kama ilivyo saiz.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Nafurahi kuona upo busy kufuatilia ban za wcb

Sijui tareh husika ya ile fnl ambayo nilimuona harmoniz..lakin unavyosema eatv hawalaumiwi kisa kutopiga ngoma za wcb kama inavyolaumiwa clouds

Inabid ujue kwamba clouds lawama wanazopata ni zaid ya kutopiga ngoma za jamaa,,clouds ni wazee wa figisu,lawama kwao hazijatolewa na msanii mmoja tu au wcb peke yao.

Sasa umeskia msanii gani analia eatv wamemfanyia figisu? Kumbuka clouds wana connection hadi serikalini so wakiamua kufanya yao unaumia..

Fiesta yenyew kuna wasanii wanalia chinichini,,huitaj kua msanii ili kujua clouds kwanini inapewa lawama.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Poa pia nafurahi kuona unawatetea .

Post no #9 i hope ulimaanisha coke studio sio fnl.

But post hii nimekucompliment mkuu .
 
Poa pia nafurahi kuona unawatetea .

Post no #9 i hope ulimaanisha coke studio sio fnl.

But post hii nimekucompliment mkuu .
[emoji3] hii mada inaweza isiishe...tufanye mambo mengne tu mkuu.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Sie Hapa JF hatupendani

Makanisani Na Misikitini hatupendani

Kwenye Siasa hatupendani

Ndugu hatupendani

Majirani hatuaminiani

Kote huko watu hawapendani sababu ya Ruge?

Huko sasa ni nje ya topic
 
Nadhani Kuna sehemu Clouds wanabebeshwa mzigo kwa kuonea mtu anafeli mwenyewe lakini anawageuza Clouds mbuzi wa kafara

East radio na Eatv hawapigi nyimbo za WCB tangu 2017 lakini lawama wanapewa Clouds media

Sent using Jamii Forums mobile app

Cjui kwann linapokuja swala la entertainment hata kama mtu hajataja wcb lazma wataingizwa tu, hii topic wala haijahusisha wcb bali ni wasanii woote kwa ujumla ambao wamekuwa wakibaniwa na clouds, kuanzia wakongwe kina lady jd, kina sugu kipind fulani (japo waliyamaliza) walichomfanyiaga ruby, na wengine wengi tu mana hata ngwea walisema clouds ndo wali mfrustrate mpaka kuishia kula unga mpaka kifo, kuna yule msanii aliekufa juzi juzi kule madale kuna watu walienda na mabango kwamba clouds waondoke mana walimtenda jamaa kuna kina dudubaya lakn nashangaa inataka kugeuzwa topic ya wcb, kwanza wcb wale ishu yao na clouds ni ya juzi juzi na pia wapo vzr wale they dnt need clouds, tuwaongelee wale waliopotea kisa clouds, yani walivyotemwa na clouds wakapotea wcb hawatapotea kisa clouds hawapigi nyimbo zao
 
clouds walipiga fitina.. ali kiba apate tuzo 5 kwenye kili music award.. diamond hakupata hata 1... mwaka 2015... baada ya hapo diamond akasusa.. clouds wakaanza kufeli kila wanachofanya kwenye mziki hakina nguvu.. sabab diamond hataki kushiriki...
Kili Musik Award zipo chini ya basata. Ingekuwa iko chini ya clouds usingesikia "subira" by Rama dee inachukua wimbo bora wa rnb tena ft mapacha wote antu virus. Lady jaydee "ndindindi" pia ikachukua. Hao clouds naona mmeamua tu kuwafanya mbuzi wa kafara. Ikumbukwe clouds nao walitaka kuandaa music award yao ya teenAward ikakataliwa na basata kwa sababu ya kili iwe monopoly. I think vijana mna chuki sana na clouds kiasi cha kwamba kila kinyesi mtawatupia.
 
Back
Top Bottom