Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

Ningepata list ya watu watano tu waliosema wamebaniwa na clouds wakaanguka kimuziki kuanzia leo naacha kufuatilia mziki
 
Pia ningepata list ya wasanii watano iliyofanikiwa bila ya mkono.wa clouds naacha kufuatilia mziki
 
Ndugu yangu mbona umebandika mm as if ndo niliesema me nimewakilisha mawazo ya wengi na ya wenyewe wahusika, zaidi ya hapo mimi ni mpenz msikilizaji tu
Samahani sana mkuu, nilikuwa nataka nifikishe ujumbe tu, sikutaka ni personalise kwako.
 
uko sahihi, ni kama Usher Raymond, tangu 1996 akitoa ngoma inakuwa kali anawafunika waliopo halafu anatulia, miaka nenda miaka rudi, hapo nakuunga mkono - Jlo pia ni hivyo naamini ni kujipanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…