Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kuna baadhi ya wasanii walitamka waziwazi na wengine kwa kificho kwamba aliekuwa mkuu wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba alikuwa kikwazo wao kushine na kupiga hatua maarufu Kama kuwabania.
Kwa mipango ya Mungu Ruge hatunae Tena Sasa wale walikuwa wanasema jamaa ndo kikwazo Ni muda muafaka wa kithibitisha kauli zenu kwa matendo
--Tuone mkitoa nyimbo kali
--Mkifanya matamasha makubwa Tanzania
--Mkifanya matamasha makubwa nje ya Tanzania
--Mkipata ubalozi wa makampuni mbalimbali
--Mkishinda tuzo mbali mbali za kimataifa

Mziki wa Bongo fleva kwa Sasa Kama umestack flani hivi tofauti na miaka ya 2015 hadi 2017 ambapo ulikuwa unakuwa kwa kasi na ushindani mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo ukuaji na ushindani umeuliwa na hao hao clouds kwa kutengeneza matabaka kwa wasanii na kubagua yani wamewafanya hadi wasanii wenyewe kwa wenyewe wasipendane
 
huo ukuaji na ushindani umeuliwa na hao hao clouds kwa kutengeneza matabaka kwa wasanii na kubagua yani wamewafanya hadi wasanii wenyewe kwa wenyewe wasipendane
Unataka kusema katika media zote Tanzania Clouds ndo wana nguvu kiasi hicho? Inamaana hizo media nyingine zimeshindwa kupambana kuondoa huo umonopoly wa influence ya Clouds kwa wasanii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo ukuaji na ushindani umeuliwa na hao hao clouds kwa kutengeneza matabaka kwa wasanii na kubagua yani wamewafanya hadi wasanii wenyewe kwa wenyewe wasipendane

mkuu kivipi kama tu hao mahasim wakuu wa clouds WCB wanakula mzizi mmoja afu sie tuna-aminishwa upuuzi na kujenga mateam kama mazuzu

kuhusu matabaka bado sijakupata vizuri mkuuu REPEAT REMEMBER AGAIN
 
Haina maana tena...ni sawa na ulinyang'anywa elimu yako ya msingi,saiz ushakua mkubwa unaambiwa haya rudi darasa la kwanza uendelee na elimu yako.

Muziki una muda wake,ukikosa fanya kitu tym ya muda wako basi wenye muda wao watakuja enjoy tym yao.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mimi nashangaa eatv/earadio hawajawahi gonga nyimbo ya harmonize&rayvany tokea watoke na hawalalamikiwi ,lakini kwa clouds ni tofauti.

Watanzania wanafiki sana.
Nadhani Kuna sehemu Clouds wanabebeshwa mzigo kwa kuonea mtu anafeli mwenyewe lakini anawageuza Clouds mbuzi wa kafara

East radio na Eatv hawapigi nyimbo za WCB tangu 2017 lakini lawama wanapewa Clouds media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
clouds walipiga fitina.. ali kiba apate tuzo 5 kwenye kili music award.. diamond hakupata hata 1... mwaka 2015... baada ya hapo diamond akasusa.. clouds wakaanza kufeli kila wanachofanya kwenye mziki hakina nguvu.. sabab diamond hataki kushiriki...
 
Kwahiyo Earadio/eatv wanapiga nyimbo za wcb?
Braza mbona una yumba,umesema hawapig nyimbo za harmoniz,nikakwambia mbona kweny FNL harmoniz tunamuona?
Saiz unakuja na habar za wcb

Sijui kuhusu wcb ,ila kuhusu harmoniz nishamuona sana fnl

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
clouds walipiga fitina.. ali kiba apate tuzo 5 kwenye kili music award.. diamond hakupata hata 1... mwaka 2015... baada ya hapo diamond akasusa.. clouds wakaanza kufeli kila wanachofanya kwenye mziki hakina nguvu.. sabab diamond hataki kushiriki...
Mhhhh mkuu Diamond Hana nguvu hiyo
Clouds wanaendelea kufanya fiesta kwa mafanikio Bila Diamond na timu yake ya WCB.

Diamond nguvu yake ya kupata kimataifa pia imepungua mwaka 2015 hadi 2017 alikuwa anashinda tuzo za kimataifa nyingi Sana hata matamasha makubwa mengi ya kimataifa alikuwa akifanya
Influence yake kimataifa ilikuwa inakaribia na kina Wizkid na Davido Leo 2019 Davido na Wizkid wamemuacha mbali Diamond

Pia ushindani wa Alikiba na Diamond ulikuwa unafanya bongo fleva kukuwa tofauti na sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza mbona una yumba,umesema hawapig nyimbo za harmoniz,nikakwambia mbona kweny FNL harmoniz tunamuona?
Saiz unakuja na habar za wcb

Sijui kuhusu wcb ,ila kuhusu harmoniz nishamuona sana fnl

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
hueleweki!
 
Haina maana tena...ni sawa na ulinyang'anywa elimu yako ya msingi,saiz ushakua mkubwa unaambiwa haya rudi darasa la kwanza uendelee na elimu yako.

Muziki una muda wake,ukikosa fanya kitu tym ya muda wako basi wenye muda wao watakuja enjoy tym yao.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu Kama talent ipo na mashairi mazuri yapo sioni sababu ya kusema Haina maana Tena.

Mwanamuziki kama Adele yeye anatoa hits na album juu anakaa kimya muda mrefu na anarudi kukiwasha upya na kuwafunika waliopo kwenye gemu muda wote.

Sasahivi Adele yupo kimya utarudi na album utaona atakachokifanya Ni vunja vunja record zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hueleweki!
Usichoelewa nini hapo we jamaa

Umesema eatv hawapig nyimbo za harmoniz..nika kwambia mbona kweny fnl tunamuona?

Ukaja tena mbona hawalaumiwi,nikakujibu walaumiwe kwa shutuma za uwongo?

Ukaja tena,kwaiyo eatv wanapga ngoma za wcb,nikakujibu sjui kuhus wcb,

By the way hata diamond na rayvan mwaka jana niliwaona fnl pia..

Sasa usichoelewa ww ni nin hapo? Tatizo unaipenda sana clouds mwanangu..[emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom