Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Yote uliyosema hayaondoi tabia za kishamba
 
Watu wamekuja kupata burudani wewe unaleta siasa ujinga + uchawa eti "mama mitano tena" unategemea watu wa mbeya wakuchekee. Unataka kufanya kampeni subiri mda ufike. Pili huwezi kuwaonyesha kidole cha kati wana mbeya wakaendelea kukuchekea, ajifunze kua na adabu.
 
Bwana ako kaguswa tu umetoka pangoni
 
Ushamba ule sio kujielewa. Anayejielewa anabaki nyumbani kama kitu hakitaki.
Nyie ndo washamba watu wamelipa Hela waangalie burudani nyie kumbe mnaanda mkutano wa siasa watu wakawapa kile mlichokitafuta
 
Bora washamba kuliko misukule ya ccm,imewauma sana ee?
 
Sawa
Sawa barnaba
 
Wasafi waande show ya bure wajae wavuta bango uwawajibishe wama mbeya yote? Ebu toka zako. Ule mkoa una watu wakarimu kupindukia ila wasafi ndo wamezingua
 
Hivi watu mmechanganyikiwa nn. Yaan wasipeleke burudani yaan utadhani ni kitu muhimu sawa na kisema wasipeleke umeme, maji, madaktari, waalimu nk.
 
💯💯💯💯
 
Mimi nipo Tabora mkuu na njia rahisi isiyokuwa na gharama ni mbeya to mtwara ila kwasababu naichukia mbeya bora nipite manyoni,Dodoma, morogoro,dar,lindi to mtwara! Naichukia mbeya
Sasa hizo si ni shida zako
 
Nothing u have in your mind
 
Hahahaaa! Naskia kwenye show wanakuja na mawe mifukoni ukiwazingua tu wanakurushia, shahidi ni shoga yako pamaja na mke wa DD
 
Huyu PDidy mnaipenda sana michezo yake ndio maana kwa sasa hakauki midomoni mwenu. Mtu anaechukia ushenzi hawezi kumuwaza Pdidy muda wote
Unasema kumuwaza? Kuna wabongo wameenda kwake kabisa na bado wakaja kujisifu kuwa wameenda na kukiri yaliyofanyika huko ni siri.
 
Mkileta usisisyemu wenu kwenye burudani lazima mtiwe dole la kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…