Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

P. Diddy hajambo?
 
Wewe uliyeweka bandiko ndio mshamba

Unatakiwa ujitathmin kwa ulichoandika

Kuhusu burudan, mbeya wanapenda sana burudan na wanajua kutofautisha kati ya siasa na burudan

Kwenye siasa fanya siasa na kwenye burudan fanya burudan

Sisi sio wangese tumelipia pesa zetu kuna kuburudika unatuletea habar za mama mitano tena kwani tupo lumumba? Hzo pigo zuchu akawaletee wangese wenzie uko na sio zuchu tu hapa mbeya msanii yeyote akileta siasa lazima tumzingue

Kuhusu mbeya kuwa jiji, sisi wana mbeya hatujajitangaza kwamba mbeya yetu ni jiji

Swala la mbeya kuwa jiji ni serikali yenu yenyewe imeona kwamba imekidhi vigezo na ndio maana wakaipa hadhi ya jiji, sasa sijui wewe uliyeandika hili bandiko na mamlaka zilizoamua kuipa mbeya hadhi ya jiji nan mwenye akili?
 
Alafu nashangaa hapa,kwa hiyo wasanii wasipoenda kufanya matamasha huko wana mbeya watapungukiwa na nini!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…