Wasanii msishindane na Diamond Platnumz mtafilisika. Yupo level za kina Bakhresa

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake wenye roho mbaya wamepata muhaho.

Nawashauri tu wasanii wa kibongo msishindane na Simba huyo kashashindikana.

Kuna msanii hapa juzi karukaruka sana kujaribu kujipimisha ubavu ila kaishia kupotea watu hawana habari nae tena kabakia kulala hotelini wasanii wake wanaishi studio. Kapigika ile mbaya.

Kwa taarifa tu gari ya kutembelea Diamond Platnumz imeshaagizwa ni ya mwaka 2021 gari ya ndoto yake.


 
Mtu aliyefanikiwa apongezwe lakini mafanikio yasiwe kwa ajili ya kutaka kuwanyoosha au kuwakomoa wengine huo tunaita ni ulimbukeni.
Lakini kwa nature ya "roho za watanzania" ni bora kuwanyoosha tu wakikuona ni limbukeni,mshamba potelea mbali.

 
Watoto wa sinza mna tamaa sana ndiyo maana daily mnaliwa viboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…