sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
Hiyo inaitwa nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu.Mtu aliyefanikiwa apongezwe lakini mafanikio yasiwe kwa ajili ya kutaka kuwanyoosha au kuwakomoa wengine huo tunaita ni ulimbukeni.
Lakini kwa nature ya "roho za watanzania" ni bora kuwanyoosha tu wakikuona ni limbukeni,mshamba potelea mbali.