herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Mnaminishwa vbaya sana mlivyomamburula na nyi mnaamini,Domo mpenda Kiki kwa Uber ya Marekani
Mlipoambiwa hana pesa ya kununua jipya ndio maana kachukua kwa mtu mkaitikia, mmeambiwa ni gari ya kawaida marekani mnakubali,watawaambia kachukia kwa mkopo mtakubali
Ila tu kumbuka kwanza ndio gari analotumia Raisi, pili usifananishe maiaha ya hapa kwenu na marekani