Wasanii msishindane na Diamond Platnumz mtafilisika. Yupo level za kina Bakhresa

Hizo za kina Trump ni customized one hataree
 
Hongera zake ila mkae kujua hili msisifie juhudi za watu jisifieni juhudi zenu mmefikia wapi?
Mnaelekea wapi?
Halafu gari kanunuliwa na zari tena second class sio jipya matapishi ya zari.
 
LICHA SIYO MFATILIAJI WA MAMBO YA MZIKI
ILA NIMEBAHATIKA KUWAFAHAMU BAADHI YA WASANI BONGO,WALIYOPATA PESA NA WENGI WAO HAWAKUWEZA KUTUNZA FEDHA NA KUFANYA MAMBO YA KUJIKWAMUA ZAIDI ZAIDI YA KUISHIA KUPIGIKA KUTOKANA NA MATUMIZI YAO NA NAMNA WALIVYOKUWA WAKIISHI
ILA KWA HUYU MONDI NAONA NDIYO MSANII
ALIYAKAZA NA HATAKI KURUDI NYUMA KILA
JAMAA NI HUNGER FOR MORE


OVA
 
Wale akina SAS wanakuwaga na magari makali sana na hawana shobo wamezaliwa pesa wanaiona sio akina sisi ukinunua Prado Kijiji kizima wanakusujudia.
Miaka ya nyuma walikuwaga na cadillac rims zilukuwa za chrome's sjui wamelitupia wapi

Mkuu kulikuwa na mwana mmja mbongo UK
Smbdy mponjoli,mmbo ya magari ya kifahari latest ukitaka anakupatia,alivyokuwa anazipata
Anajuwa mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
deep down mond hapendi namna chawa wake wanafanya aonekane.but ndio hivyo wameamua wafanye hata bure bila kulipwa[emoji38][emoji38].

huyu mtu namwelewa sana,sema kwenye maisha yake kuna watu wameenda kuji attach kilazima,ili waishi.hao ndio wanafanya mambo mengi yanakuwa hivi yalivyo.

binafsi nilikiwa miongoni mwa watu tulioponda gari zake aina moja,toyota v8,hazikuwa kistar japo ni gari za gharama.mwanzo mzuri tutafika kwa akina RR,Rr nk.
 
Jamaa ni matajiri so hawana kelele maana unakuta wanamiliki scania 200 sasa unadhani yeye kununua gari moja ya starehe kwa milioni 600 kwao sio ishu ananunua gari ya milioni 600 hata kumi na Wala Hana shobo na wanaendea kula mirungi jioni Hana misele ya uswazi.
 
Kuwaongezea maumivu ya msoto wa maisha wenye roho mbaya kama yako.
Ajabu ni pale Me anamsifia me mwenzie hadharani au ke kumsifia me wa ke mwenziye, tambua kwamba hakuhitaji sifa anastahili pongezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…