herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Mnaminishwa vbaya sana mlivyomamburula na nyi mnaamini,Domo mpenda Kiki kwa Uber ya Marekani
unampa ujumbe Mrisho mpoto au?Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake wenye roho mbaya wamepata muhaho.
Nawashauri tu wasanii wa kibongo msishindane na Simba huyo kashashindikana.
Kuna msanii hapa juzi karukaruka sana kujaribu kujipimisha ubavu ila kaishia kupotea watu hawana habari nae tena kabakia kulala hotelini wasanii wake wanaishi studio. Kapigika ile mbaya.
Kwa taarifa tu gari ya kutembelea Diamond Platnumz imeshaagizwa ni ya mwaka 2021 gari ya ndoto yake.
View attachment 1828145View attachment 1828146View attachment 1828147View attachment 1828148
View attachment 1828149
Na wanao nyumbani wanajua baba yupo kazini...
Kazini kwenyewe ndio huku
Wewe jamaaa unajua....[emoji2321]1. Davido
2. WizKid
3. Burna Boy
Soon wataelewa ile tweet ya go google me
Umekaririshwa na dada yako Mange sio😂? Kama Trump na JayZ wanaendesha hizo Uber ,kuna ubaya gani Mond kuziendesha?Domo mpenda Kiki kwa Uber ya Marekani
Kubali-kataa Domo mshamba. Celebrity unatembelea V8? Cadillac?Umekaririshwa na dada yako Mange sio😂? Kama Trump na JayZ wanaendesha hizo Uber ,kuna ubaya gani Mond kuziendesha?
Kubali-kataa Domo mshamba. Celebrity unatembelea V8? Cadillac?
Jina la kwenye Gari Ni nani?Nyie danganyaneni na huyo Mange wenu huko insta.Mtu anawaambia kuwa Cadillac ni gari ya kawaida inatumika kama Uber huko marekani mnakubali, ilhali yeye aliyeko huko marekani hawezi kuimiliki.
Unaiponda Cadillac na hauna 1b kwenye account zako una akili wewe??
Gari ya 1b inakuaje UBER?Nyie danganyaneni na huyo Mange wenu huko insta.Mtu anawaambia kuwa Cadillac ni gari ya kawaida inatumika kama Uber huko marekani mnakubali, ilhali yeye aliyeko huko marekani hawezi kuimiliki.
Unaiponda Cadillac na hauna 1b kwenye account zako una akili wewe??
Ikiwa unaipondea Uber inayonunuliwa kwa mamilion ya pesa,natarajia kwamba wewe utakuwa na zaidi ya 1b kwenye account zako.Gari ya 1b inakuaje UBER?
Kwani wenye pesa hawahitaji usafiri wa dharura?Gari ya 1b inakuaje UBER?
Ni kweli kabisa. Huyu kijana kwa sasa apambanishwe na wafanyabiashara wakubwa kama Shigongo na wengine. Wasanii wenzie kawaacha mbali sana. Na inavyoonekana bado ataongeza gap kwa mbali sana. Diamond ni kama Yousor Ndour wa Senegal. Atakuja kuweka gap kubwa sana ya utajiri kwa wanamuziki wa Afrika Mashariki na kati.Hiyo inaitwa nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu.
Itatumika kwenye petition ya Maria SarungiHii inakusaidia nini wewe?
Sasa hao uliowataja domokaya wako anawazidi kwa lipi hasa?1. Davido
2. WizKid
3. Burna Boy
Soon wataelewa ile tweet ya go google me