Wasanii na changia CCM

lazima tuwe wapole tu maana,fitina yao mmmm ni baraaaa.wameona mbali hao wasaniii maana maisha ya kibongo ni tumikia kafiri upate wa
 
wasipofanya hivyo watazimwa, radio zote zitapigwa mkwara zisipige nyimbo zao.
 
sumaye si alisema mkuu, ukitaka mambo yako yawe mswano.....jiunge na chama chao....hao jamaa wamesoma alama za nyakati...
 
Flora mbasha nimlokole wa kweli anamwimbia mungu alafu anakodishwa na CCM, hii kwaya biashara
 
kikwete ameahidi kuwafungulia studio hao, studio kubwa kuliko ndani ya Afrika mashariki na kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…