Mkaa Mweupe JF-Expert Member Joined Jun 29, 2007 Posts 654 Reaction score 183 May 21, 2010 #1 Hivi ukichangia unapata T-Shirt?
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 May 21, 2010 #2 Wako kazini wenzio; na hiyo ni unifom ya kazi!
W wakumbuli Senior Member Joined Aug 20, 2009 Posts 147 Reaction score 5 May 21, 2010 #3 lazima tuwe wapole tu maana,fitina yao mmmm ni baraaaa.wameona mbali hao wasaniii maana maisha ya kibongo ni tumikia kafiri upate wa
lazima tuwe wapole tu maana,fitina yao mmmm ni baraaaa.wameona mbali hao wasaniii maana maisha ya kibongo ni tumikia kafiri upate wa
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 May 21, 2010 #4 wasipofanya hivyo watazimwa, radio zote zitapigwa mkwara zisipige nyimbo zao.
Al Zagawi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 2,508 Reaction score 1,566 May 22, 2010 #5 sumaye si alisema mkuu, ukitaka mambo yako yawe mswano.....jiunge na chama chao....hao jamaa wamesoma alama za nyakati...
sumaye si alisema mkuu, ukitaka mambo yako yawe mswano.....jiunge na chama chao....hao jamaa wamesoma alama za nyakati...
MmasaiHalisi Senior Member Joined Jan 15, 2009 Posts 192 Reaction score 23 Jan 1, 2011 #6 Flora mbasha nimlokole wa kweli anamwimbia mungu alafu anakodishwa na CCM, hii kwaya biashara
Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Jan 2, 2011 #7 kikwete ameahidi kuwafungulia studio hao, studio kubwa kuliko ndani ya Afrika mashariki na kati