Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .