Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Huyu kashakosea.. alitoka nje ya mstari na mm naamini alivyokua kwenye dira yake na michongo alisaidia watu. Alikula na kugawana na watu, aliwa-inspire wengine na alikuwa kioo na mfano. Leo hii mud wake umepita kama ilivyo na itakavyokuwa kwa wengine.Sasa tatizo hapo ni Watanzania au Chid mwenyewe maana akipata hela anaenda kula UNGA,kunywa pombe na kuvutia bange
Watanzania tumpiganie, watu walijivunia sana uwepo wake enzi hiyo Chi chi chi chidy ben'gq