Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

Humu lugha za kigeni saa ingine unasoma mpaka unapata kizungu zungu
Tuvumiliane tu kama tunaelewana, japo si vizuri kutumia lugha ambayo huijui vyema wakati kuna ambayo unaijua vizuri. Mfano mimi siwezi kuandika humu kwa kifaransa wakati kuna kiswahili na Kiingeeza japo kifaransa nakijua kwa mbaliiii
 
Juzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Wewe ulimpa msaada gani kabla ya kukimbilia hapa JF na kuanzisha huu uzi?
 
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.

Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.

Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.

Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Picha ya mguu tafadhali
 
Kushare hii taarifa hapa lazima atapata msaada Mkubwa
Basi usiwalaumu sana ambao hawajamsaidia mpaka sasa hivi coz hata wewe hukumsaidia kitu,

Kuhusu matatizo ya Chid yanajulikana toka kitambo hata kabla ya huu uzi,

Nilivyoona unavyo waponda na kuwalaumu watu kwa kutomsaidia nikajua labda wewe ulimpa msaada,
kumbe ndio wale wale tu.
 
Chid hayupo tayari kile kidonda kipone. Ameshafanya mtaji wa kumuingizia buku buku za ngada
Ujuaji mwingi ndio unamponza

Wanaotaka kumsaidia wampeleke hospital na sio kumpa pesa. Japo yeye hataki msaada huo, yeye anataka pesa then atajua cha kufanya

Wanaotaka kwenda kumuona kabla hajafa, Yupo pale ilala boma, kituo cha shule msingi kwenye zile kota ndio mitaa yake
Dear young generation if you touch the shit and get high you will never go back
 
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.

Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.

Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.

Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Tutammiss sana Ruge
Pamoja na kupigwa sana spana bado alisimama na utu wake kuwasaidia wasanii wanapokuwa kwenye mapito kama hayo
 
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.

Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.

Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.

Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Mguu unatibiwa ila hauwezi pona kama hataki kuacha unga. Kidonda kitapona vipi na anakula unga 24 hours? Yani unataka ndugu au marafiki wafanyaje?
 
Back
Top Bottom