Yuko karibu na RC wa Dar ameshindwa kumsaidia?Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yak...
Tunawashauri vijana mkipqta hela acheni akiba. Mnatuona Washamba.Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana
Juzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndaniMbele kwa mbele,,,, wameshindwa kumtibia ? Au wwnawatumia tu kama tissue ?
Ukute ni mchongo wa utajiri, hii dunia imechangamka sana
Kweli maisha usipojipanga yanakupanga. Chid huyu huyu kafika hapa. noma sanaChid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .
Mdogo wake chibu tu swala dogo hili analimaliza,,,,,yeye aende tu na makamera ya kutosha atasaidiwa,,, watu wanapenda show offJuzi natoka katika show ya Friday night live ndo nimekaa na Chid Benz jamaa anaumwa Sana huo mguu unanuka hatari na mbaya zaidi jamaa anakaa amelewa 24/7 kutembea vizuri hawezi na akivaa kiatu ngozi inabaki ndani
Sasa tatizo hapo ni Watanzania au Chid mwenyewe maana akipata hela anaenda kula UNGA,kunywa pombe na kuvutia bangeChid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kushughulikia tatizo likiwa katika hatua za awali .